Tuna tatizo jipya: Mabinti ukiwaalika nyumbani wanang'ang'ania

Tuna tatizo jipya: Mabinti ukiwaalika nyumbani wanang'ang'ania

Unataka uendelee kuchezea mabinti wa watu na kuwaacha hapo sio?
 
Sasa hivi imekua kosa kumkaribisha Binti nyumbani ili mpeane burudani..Sijui ni ugumu wa soko lao ama ni nini lakini Mimi hili limenikuta juzi, anyway Iko hivi.

"Kuna mrembo nimemkaribisha Siku ya mwaka mpya na wote tulikubaliana kwamba nitaibomoa nyapu kisha nikajua anaondoka kesho yake, lakini leo ni siku ya pili kama masihara yaaani chuma kimegoma kung'oka.

Asubuhi ya leo nimeamshwa na chai kabla ya kwenda kusalimia wana sababu Niko likizo, ila hali hii sijazoea mimi.

Sina hili wala lile nikama ratiba yangu anayo nacheki simu kumbe, amenitumia ujumbe kwamba chakula cha mchana tayari.

Hivi muda huu kwenye harakati za kula msosi kasema kuna fedha kasevu, inatakiwa tukanunue vitu vya ndani. Mind you hili geto langu huwa ni makutano kwa ajili ya kuingiliana kimwili tu.

Lakini namuona nikama anamalengo hili gheto langu liwe nyumbani sasa, ila bado sijamwelewa aisee.

Naona anazungumza mipango mingi ya pamoja na yamuda mrefu kuhusu hili gheto kuliko mimi niliyemualika kwa lengo la muda mfupi tu.

Stori zake naona anazungumza vitu vya kutekeleza mwezi mzima, hapa kwangu...Wakuu namaliza kula NAMFUKUZA
Braza umepatikana😀😀
 
Kama umekuta akiwa 25+ na sio bikira hapo unaenda kuwa retirement plan. She expored the streets, in her peak years she thought she had all time and the streets will treat her like a queen. Unfortunately the streets treated her like a hoe. Now she is in searching of a safe place to land.

What to do? Pipe and swipe her th the streets where she belong
We jamaa comments zako zina madini Sana, hujawahi niangusha
 
Back
Top Bottom