Ile page ya ***proach ndio inakucopy wewe au wewe ndio unacopy kutoka ile page..π€£π€£π€£ anyway ile page inakupoteza geroman.. #Retirementplan myfuuutπ€£π€£Kama umekuta akiwa 25+ na sio bikira hapo unaenda kuwa retirement plan. She expored the streets, in her peak years she thought she had all time and the streets will treat her like a queen. Unfortunately the streets treated her like a hoe. Now she is in searching of a safe place to land.
What to do? Pipe and swipe her th the streets where she belong
Aende sokoni akamnunulie beseni kisha alijaze ndizi na parachichi, akirudi amkabidhi amwambie mama maisha kusaidiana, kuliko kukaa ndani bora uende kutembeza matunda jioni unarudi nyumbaniππππ Hii kitu hata mimi nime experience, ukimleta demu home hataki kuondoka kabisa, yani kuna wengine ni mpaka umbadilikie, lakini ukitumia mbinu za kizamani kama kusingizia umepata dharura au kuna mgeni anakuja bado hazifui dafu, nafkiri wengi wako katika retirement phase, kwahiyo wanapambana wapate uhakika wa kesho yao
Ni kama timu zinavokua serious second phase ya UEFA legue hatua ya mtoano
Mkuu hata wew linaweza kukuta hiliTumechoka kushuri upumbaavu wenu
Mmekuwa na akili kama za wale vibaka wa mwamvuli wa maandamano.
Hapo ulikunywa gongoLuna mmojanalikujaga maghetoni,
Picha linaanza anaanza kusifia were godoro lots hili ma kitanda kikubwa unalala peke yako?
Katoka halo Mara naomba perfume Mona maana unazo nyingi,katokanhapo nipe mayai manner nikapikie ugali,maana were mayai yotebukonpeke yako unakulaje,yaaninkila anachokiona anatamani.
Ladies nowadays, sijui wamekula maharagwe ya wapi wamejaa full tamaa bora tu tuendelee kuwapeleka nyumba za wageni
Siijui hiyo page ingawa wapo wainjilist wa redpill huwa napitia pitia nondo zao mfano andrew tate, 50 cent n.kIle page ya ***proach ndio inakucopy wewe au wewe ndio unacopy kutoka ile page..π€£π€£π€£ anyway ile page inakupoteza geroman.. #Retirementplan myfuuutπ€£π€£
Seran nani kafundisha kupiga dislikes!?Kama umekuta akiwa 25+ na sio bikira hapo unaenda kuwa retirement plan. She expored the streets, in her peak years she thought she had all time and the streets will treat her like a queen. Unfortunately the streets treated her like a hoe. Now she is in searching of a safe place to land.
What to do? Pipe and swipe her th the streets where she belong
Hata mimi natafuta nke ya kuoa nashangaa wifi ako katorokea sijui wapi,ππSasa we ukilala ukiamka ni bikra kama sio dalili za kupata wazimu ni nini?
Unatafutia wapi sasaπ msakue wifi umpate mwee!Hata mimi natafuta nke ya kuoa nashangaa wifi ako katorokea sijui wapi,ππ
Anyway ukilala ukiamka wapi???
Halafu nimegundua walokole wengi huwa wanaokoka baada ta kupiga/kupigwa mimbaππππ
Aaaah wapiUnatafutia wapi sasaπ msakue wifi umpate mwee!
Nyokhoo!! Walokole wengi wametulia mfyuu!
Mkuu, wanawake wa siku hizi unaweza kumuomba 0713 ili aondoke lakini utashangaa anakupa vzr tu na haondoki,Ili aondoke mwambie mambo mawili
1.umeathirika una miwaya
2.muombe 0713 mwamboe Mimi no muumini sana wa hiyo mambo, halo nadhani uhusiano utaisha na ataondoka
Siyo aache utoto huyo ni mtoto kweli.Acha utoto bwashee umri haukusubiri,chance never come twice kama umempata mwanamke mwenye mipango na ghetto lako shukuru sana maana kwa akili hizo ukiwa mwenyewe utaanza okota makopo bora wakukudhibiti na kukupa dawa za kutuliza kichaa awepo!
mwehu ndama