Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Binafsi tangu niwe mtu mzima na kuanza maisha ya kujitegemea sijawahi kuipenda CCM. Haihitaji uwe na elimu kujua kuwa CCM ni kikwazo katika ustawi wa jamii ya Watanzania. Tanzania inanuka ufukara uliokithiri.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
Wapinzani hasa CHADEMA kidogo wana mwanga ingawa sometimes kuna mapungufu. Nape Nnauye alikiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania, ex DC Henry wa Longido pia alikiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania.
Rais kwa kuwatengua mara baada ya kauli zao naye anakiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania.
Wapinzani wapo tu. Tuna safari ndefu!
Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!