kupelwa
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 1,090
- 454
Kuna fulsa ya kufungua kesi mahama kuu almradi uwe na ushahidi unaoyosheleza.Upinzani ndio DPP? 🐼😂
Ni kama kesi ya afande Fatuma wa Dodoma ilivyofunguliwa ,na kuandikiwa hati ya kimahakama kukamatwa
Tatizo lilipo wakishindwa hizo kesi maanake CCM na serikali itakuwa imevuliwa nguo.
Kwahiyo itaegemea kwa watoa haki kupindisha na mara nyingi zikitupwa waziwazi na haki kutokutendeka
.