kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Suluhisho la pekee ni CCM kugawanyika kama KANU ya Kenya. Uzuri wa Kenya kuna wasomi wanaojielewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umefanya effort hani kuimarisha upinzani?Binafsi tangu niwe mtu mzima na kuanza maisha ya kujitegemea sijawahi kuipenda CCM. Haihitaji uwe na elimu kujua kuwa CCM ni kikwazo katika ustawi wa jamii ya Watanzania. Tanzania inanuka ufukara uliokithiri.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
Wapinzani hasa CHADEMA kidogo wana mwanga ingawa sometimes kuna mapungufu. Nape Nnauye alikiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania, ex DC Henry wa Longido pia alikiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania.
Rais kwa kuwatengua mara baada ya kauli zao naye anakiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania.
Wapinzani wapo tu. Tuna safari ndefu!
Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Binafsi tangu niwe mtu mzima na kuanza maisha ya kujitegemea sijawahi kuipenda CCM. Haihitaji uwe na elimu kujua kuwa CCM ni kikwazo katika ustawi wa jamii ya Watanzania. Tanzania inanuka ufukara uliokithiri.

Tuna tatizo kubwa saana watanzania.unawezaje kumchukia msema ukweli kama nape na yule DC wa longido??wamepoteza ugali kwa kusema ukweli mnataka nini sasa.yule DC longido ajengewe sanamu.
Mahakama gani kwa mfanoBinafsi tangu niwe mtu mzima na kuanza maisha ya kujitegemea sijawahi kuipenda CCM. Haihitaji uwe na elimu kujua kuwa CCM ni kikwazo katika ustawi wa jamii ya Watanzania. Tanzania inanuka ufukara uliokithiri.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
Wapinzani hasa CHADEMA kidogo wana mwanga ingawa sometimes kuna mapungufu. Nape Nnauye alikiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania, ex DC Henry wa Longido pia alikiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania.
Rais kwa kuwatengua mara baada ya kauli zao naye anakiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania.
Wapinzani wapo tu. Tuna safari ndefu!
Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Hii nchi ni ya wapinzani pekee?Wapinzani wapo tu. Tuna safari ndefu!
Mahakama zisingekuwa dhaifu wapinzani wangeenda kuwashitaki hao jamaa, lakini mahakama ndio dhaifu, hivyo walaumu wao.Binafsi tangu niwe mtu mzima na kuanza maisha ya kujitegemea sijawahi kuipenda CCM. Haihitaji uwe na elimu kujua kuwa CCM ni kikwazo katika ustawi wa jamii ya Watanzania. Tanzania inanuka ufukara uliokithiri.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
Wapinzani hasa CHADEMA kidogo wana mwanga ingawa sometimes kuna mapungufu. Nape Nnauye alikiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania, ex DC Henry wa Longido pia alikiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania.
Rais kwa kuwatengua mara baada ya kauli zao naye anakiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania.
Wapinzani wapo tu. Tuna safari ndefu!
Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Huwa nikisikiaga hii kauli kuwa wapinzani wa kweli watatoka ccm huwa nacheka vibaya. Toka kauli hiyo itoke hadi leo ni miaka kibao hakuna hao wapinzani wa kweli toka hiyo ccm, badala yake tunaona chawa wanazaliwa kwa kasi ya ajabu!🤣🤣Nani alikwambia nchi hii kuna wapinzani?,kuna wachumi nikisikia matumbo tu,wazee wa fursa
Wapinzani wa kweli ni watatoka ndani ya CCM yenyewe,siku ikikatika vipande viwili ndio tutapata upinzani halisi
Sasa ulitaka wapinzani wafanye nini? Wawakamate nape na huyo DC wawafungulie mashitaka? Rejea sindimba iliyochezwa na serikali kuwalinda wale Covid 19,tunajua polisi, mahakama, zote zinatenda Yale wanayoambiwa na ccm, kama ccm, hawataki ushinde kesi, huwezi, shinda,Binafsi tangu niwe mtu mzima na kuanza maisha ya kujitegemea sijawahi kuipenda CCM. Haihitaji uwe na elimu kujua kuwa CCM ni kikwazo katika ustawi wa jamii ya Watanzania. Tanzania inanuka ufukara uliokithiri.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
Wapinzani hasa CHADEMA kidogo wana mwanga ingawa sometimes kuna mapungufu. Nape Nnauye alikiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania, ex DC Henry wa Longido pia alikiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania.
Rais kwa kuwatengua mara baada ya kauli zao naye anakiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania.
Wapinzani wapo tu. Tuna safari ndefu!
Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Binafsi tangu niwe mtu mzima na kuanza maisha ya kujitegemea sijawahi kuipenda CCM. Haihitaji uwe na elimu kujua kuwa CCM ni kikwazo katika ustawi wa jamii ya Watanzania. Tanzania inanuka ufukara uliokithiri.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
Wapinzani hasa CHADEMA kidogo wana mwanga ingawa sometimes kuna mapungufu. Nape Nnauye alikiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania, ex DC Henry wa Longido pia alikiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania.
Rais kwa kuwatengua mara baada ya kauli zao naye anakiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania.
Wapinzani wapo tu. Tuna safari ndefu!
Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Ulitaka wafanyeje? Kwanini tunakubali hatma ya maisha yetu tuwaachie akina fulani??? Hili sio la MTU bali sisi sote.Wapinzani wapo tu. Tuna safari ndefu!
Nani alikwambia nchi hii kuna wapinzani?,kuna wachumia matumbo tu,wazee wa fursa