Pre GE2025 Tuna upinzani dhaifu. Nilitarajia Nape Nnauye na aliyekuwa DC Longido wangefikishwa Mahakamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Suluhisho la pekee ni CCM kugawanyika kama KANU ya Kenya. Uzuri wa Kenya kuna wasomi wanaojielewa.
 
Binafsi tangu niwe mtu mzima na kuanza maisha ya kujitegemea sijawahi kuipenda CCM. Haihitaji uwe na elimu kujua kuwa CCM ni kikwazo katika ustawi wa jamii ya Watanzania. Tanzania inanuka ufukara uliokithiri.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!

Wapinzani hasa CHADEMA kidogo wana mwanga ingawa sometimes kuna mapungufu. Nape Nnauye alikiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania, ex DC Henry wa Longido pia alikiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania.

Rais kwa kuwatengua mara baada ya kauli zao naye anakiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania.

Wapinzani wapo tu. Tuna safari ndefu!

Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Wewe umefanya effort hani kuimarisha upinzani?
 
Kwa mawazo kama haya kazi ipo.

Kwanini usingependa kujiimarisha zaidi ikiwezekana kwa kuunganisha nguvu hata na wao kuitia adabu CCM?
 
Tuna tatizo kubwa saana watanzania.unawezaje kumchukia msema ukweli kama nape na yule DC wa longido??wamepoteza ugali kwa kusema ukweli mnataka nini sasa.yule DC longido ajengewe sanamu.
 
Tatizo ni kuwa tuna watu wajinga mno wasiojua wanataka au hawataki nini
 
Binafsi tangu niwe mtu mzima na kuanza maisha ya kujitegemea sijawahi kuipenda CCM. Haihitaji uwe na elimu kujua kuwa CCM ni kikwazo katika ustawi wa jamii ya Watanzania. Tanzania inanuka ufukara uliokithiri.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!

Wapinzani hasa CHADEMA kidogo wana mwanga ingawa sometimes kuna mapungufu. Nape Nnauye alikiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania, ex DC Henry wa Longido pia alikiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania.

Rais kwa kuwatengua mara baada ya kauli zao naye anakiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania.

Wapinzani wapo tu. Tuna safari ndefu!

Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Mahakama gani kwa mfano
 
Kwa DPP yupi ndugu, au kwenda tu kujifurahisha.

Kesi ya CCM unampelekea CCM akuamulie? Kumbuka ya yule kijana wa Babati yalifika wapi?

Mfumo wetu wa haki una shida hasa kwenye kesi kama hizi huambulii kitu ndugu.

Bunge na Mahakama zetu hazina uwezo wa kuisurubu Serikali - ndiyo maana tunaambiwa tuanze na Katiba kwanza then mengine yafuate.
 
Mwabukusi namkubali sana nilimsikia akisema upinzani hawako serious nami namuunga mkono.
 
Binafsi tangu niwe mtu mzima na kuanza maisha ya kujitegemea sijawahi kuipenda CCM. Haihitaji uwe na elimu kujua kuwa CCM ni kikwazo katika ustawi wa jamii ya Watanzania. Tanzania inanuka ufukara uliokithiri.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!

Wapinzani hasa CHADEMA kidogo wana mwanga ingawa sometimes kuna mapungufu. Nape Nnauye alikiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania, ex DC Henry wa Longido pia alikiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania.

Rais kwa kuwatengua mara baada ya kauli zao naye anakiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania.

Wapinzani wapo tu. Tuna safari ndefu!

Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Mahakama zisingekuwa dhaifu wapinzani wangeenda kuwashitaki hao jamaa, lakini mahakama ndio dhaifu, hivyo walaumu wao.
 
Hauwezi kujisifu kuwa una nguvu wakati unayepambana naye nidhaifu.

Pia, ni taasisi ipi ya serikali inaweza kutoa haki kwa mpinzani ktk Nchi hii?.
 
Nani alikwambia nchi hii kuna wapinzani?,kuna wachumi nikisikia matumbo tu,wazee wa fursa

Wapinzani wa kweli ni watatoka ndani ya CCM yenyewe,siku ikikatika vipande viwili ndio tutapata upinzani halisi
Huwa nikisikiaga hii kauli kuwa wapinzani wa kweli watatoka ccm huwa nacheka vibaya. Toka kauli hiyo itoke hadi leo ni miaka kibao hakuna hao wapinzani wa kweli toka hiyo ccm, badala yake tunaona chawa wanazaliwa kwa kasi ya ajabu!🤣🤣
 
Mimi nataka hata hao upinzani watulie wakomae na mishe zao,

Labda wananchi watajireinstall
 
Binafsi tangu niwe mtu mzima na kuanza maisha ya kujitegemea sijawahi kuipenda CCM. Haihitaji uwe na elimu kujua kuwa CCM ni kikwazo katika ustawi wa jamii ya Watanzania. Tanzania inanuka ufukara uliokithiri.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!

Wapinzani hasa CHADEMA kidogo wana mwanga ingawa sometimes kuna mapungufu. Nape Nnauye alikiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania, ex DC Henry wa Longido pia alikiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania.

Rais kwa kuwatengua mara baada ya kauli zao naye anakiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania.

Wapinzani wapo tu. Tuna safari ndefu!

Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Sasa ulitaka wapinzani wafanye nini? Wawakamate nape na huyo DC wawafungulie mashitaka? Rejea sindimba iliyochezwa na serikali kuwalinda wale Covid 19,tunajua polisi, mahakama, zote zinatenda Yale wanayoambiwa na ccm, kama ccm, hawataki ushinde kesi, huwezi, shinda,
 
Binafsi tangu niwe mtu mzima na kuanza maisha ya kujitegemea sijawahi kuipenda CCM. Haihitaji uwe na elimu kujua kuwa CCM ni kikwazo katika ustawi wa jamii ya Watanzania. Tanzania inanuka ufukara uliokithiri.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!

Wapinzani hasa CHADEMA kidogo wana mwanga ingawa sometimes kuna mapungufu. Nape Nnauye alikiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania, ex DC Henry wa Longido pia alikiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania.

Rais kwa kuwatengua mara baada ya kauli zao naye anakiri kuwa kura hazina uwezo wa kuamua hatma ya Tanzania.

Wapinzani wapo tu. Tuna safari ndefu!

Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!

Tuna katiba dhaifu ni tatizo kubwa kuliko upinzani
 
Nani alikwambia nchi hii kuna wapinzani?,kuna wachumia matumbo tu,wazee wa fursa

Wapinzani wa kweli ni watatoka ndani ya CCM yenyewe,siku ikikatika vipande viwili ndio tutapata upinzani halisi

..mtasubiri sana watu watoke Ccm.

..hakuna anayeweza kutoka Ccm halafu aende akatekwe, au auwawe, wakati yuko upinzani.
 
Nakushangaa Sana Makonda na Rostam walishatoa mwongozo kuhusu mahakama za Tanzania.
 
Ukute ndio unajiandaa kwenda kwenye usaili.....ushafeli kwa reasoning ya namna hii
 
Back
Top Bottom