Pre GE2025 Tuna upinzani dhaifu. Nilitarajia Nape Nnauye na aliyekuwa DC Longido wangefikishwa Mahakamani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Upinzani ndio DPP? πŸΌπŸ˜‚
Kuna fulsa ya kufungua kesi mahama kuu almradi uwe na ushahidi unaoyosheleza.
Ni kama kesi ya afande Fatuma wa Dodoma ilivyofunguliwa ,na kuandikiwa hati ya kimahakama kukamatwa
Tatizo lilipo wakishindwa hizo kesi maanake CCM na serikali itakuwa imevuliwa nguo.
Kwahiyo itaegemea kwa watoa haki kupindisha na mara nyingi zikitupwa waziwazi na haki kutokutendeka

.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…