Tuna Wabongo wenye hii tabia ya huyu Mshamba na Mchoyo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Geremi Njitap: ''Mimi sio Eto'o, pesa zangu ni zangu

Yeye ni yeye, mimi ni mimi. Sikuteseka kwa miaka mingi kuokoa ulimwengu wote. Familia yangu imekuwa ikinilalalmikia lakini sijali.

Pesa zangu ni zangu tu, nisingecheza mpira nani angekuwa tayari kunisaidia?

Sinunui huruma. Hutasikia kwamba nilitoa mchango mkubwa kwa mtu. Hata mlinzi wangu hana sahani ya chakula nyumbani kwangu, mshahara wake unatosha!

Geremi Sorele Njitap Fotso ni mchezaji wa zamani wa Cameron, Chelsea, Real Madrid, Newcastle united na timu kadhaa !!

Chanzo: Mitandaoni

GENTAMYCINE nikiwa ninacho kamwe sitocha Kutoa au Kusaidia Watu kwani hata Mimi najua nilivyosaidiwa na Watu.
 
Huyo jamaa ana roho mbaya tu; uchoyo umemzidi. Achana naye na roho mbaya yake.
 
Geremi Njitap: ''Mimi sio Eto'o, pesa zangu ni zangu

Yeye ni yeye, mimi ni mimi. Sikuteseka kwa miaka mingi kuokoa ulimwengu wote. Familia yangu imekuwa ikinilalalmikia lakini sijali.

Pesa zangu ni zangu tu, nisingecheza mpira nani angekuwa tayari kunisaidia?

Sinunui huruma. Hutasikia kwamba nilitoa mchango mkubwa kwa mtu. Hata mlinzi wangu hana sahani ya chakula nyumbani kwangu, mshahara wake unatosha!

Geremi Sorele Njitap Fotso ni mchezaji wa zamani wa Cameron, Chelsea, Real Madrid, Newcastle united na timu kadhaa !!

Chanzo: Mitandaoni

GENTAMYCINE nikiwa ninacho kamwe sitocha Kutoa au Kusaidia Watu kwani hata Mimi najua nilivyosaidiwa na Watu.
Pesa kwa wapumbavu huleta majivuno sana!
 
Pogba Mali zake na jasho lake likamletea shida dhidi ya nduguze.

Obi Mikel Mali ni zake na misaada anawapa ila ndugu wakawa wa kwanza kumzingua kilazima atoe hela.

Adebayor naye alilalamika kuhusu tabia za ndugu anaowasaidia.

Genta ukiwa nazo jikaushe tu usije kuundiwa tume ukajutia kusaidia.
 
Hapa tu sina Kikubwa hicho lakini najitahi sana Kusaidia Watu mbalimbali nikianza na Wazazi wangu, Ndugu na Jamaa.
 
Kwahiyo kumbe hata kama ukiwa umetusua Kimaisha bila ya Kusaidiwa na Mtu hupaswi nawe kuwa Mtoaji kwa Watu?
Bilgate mwenyewe hafanyi kwa helayake mfukoni

Hela yenyewe kaipata kwa masimango ulaya huko ,aitwe nyani uwanjani ,mtaani ..arushiwe ndizi kirahisi aje aanze kugawa mpunga wake

Serikali mnazochagua muwe mnazipigia kelele
 
Ukishaskia tu mtu mchezaji amepitia chelsea ujue hana akili hakunaga kitu cha maana wanawaz zaidi ya mapenzi na usnitch John Terry aliamua kutembea na mpenzi wa mchezaji mwenzake Wayne Bridge akaleta u snitch kwa rafiki yake akiwa chelsea
Thibaut courtois alitembea na mpenzi wa De bruyne ambae mchezaji mwenzake wa timu ya taifa enzi akiwa chelsea.
Huyo pimbi nae ni kiazi vilevile
 
Geremi Njitap: ''Mimi sio Eto'o, pesa zangu ni zangu

Yeye ni yeye, mimi ni mimi. Sikuteseka kwa miaka mingi kuokoa ulimwengu wote. Familia yangu imekuwa ikinilalalmikia lakini sijali.

Pesa zangu ni zangu tu, nisingecheza mpira nani angekuwa tayari kunisaidia?

Sinunui huruma. Hutasikia kwamba nilitoa mchango mkubwa kwa mtu. Hata mlinzi wangu hana sahani ya chakula nyumbani kwangu, mshahara wake unatosha!

Geremi Sorele Njitap Fotso ni mchezaji wa zamani wa Cameron, Chelsea, Real Madrid, Newcastle united na timu kadhaa !!

Chanzo: Mitandaoni

GENTAMYCINE nikiwa ninacho kamwe sitocha Kutoa au Kusaidia Watu kwani hata Mimi najua nilivyosaidiwa na Watu.
Kuna mpwa (mtoto wa dada yangu) nilimsomesha from std 1 to form 4, hakufanya vizuri nikampa mtaji, akaharibu. Nyumbani kuna choo kibovu, anajisaidia hivyo hivyo na yeye ni fundi kujenga. Namwambia kwa nini hata huniambii materials gani ninunue urekebishe choo wakati unaufundi na nimekuandaa all the years kuwa msaada nyumbani,
Akanijibu kwani ni deni ? Kumbuka mimi sikai nyumbani. Naenda mara moja au mbili tu kwa mwaka. Ndugu ni stress na ugonjwa wa moyo.
 
Ukishaskia tu mtu mchezaji amepitia chelsea ujue hana akili hakunaga kitu cha maana wanawaz zaidi ya mapenzi na usnitch John Terry aliamua kutembea na mpenzi wa mchezaji mwenzake Wayne Bridge akaleta u snitch kwa rafiki yake akiwa chelsea
Thibaut courtois alitembea na mpenzi wa De bruyne ambae mchezaji mwenzake wa timu ya taifa enzi akiwa chelsea.
Huyo pimbi nae ni kiazi vilevile
Aiseee acha matusi we jonbaa wa mwanitesa fc ,acha kabisa Chelsea chama la wana timu ya mabingwa, ninyi vichwa panzi mna chuki binafsi
 
Back
Top Bottom