GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huyo jamaa ana roho mbaya tu; uchoyo umemzidi. Achana naye na roho mbaya yake.Geremi Njitap: ''Mimi sio Eto'o, pesa zangu ni zangu
Yeye ni yeye, mimi ni mimi. Sikuteseka kwa miaka mingi kuokoa ulimwengu wote. Familia yangu imekuwa ikinilalalmikia lakini sijali.
Pesa zangu ni zangu tu, nisingecheza mpira nani angekuwa tayari kunisaidia?
Sinunui huruma. Hutasikia kwamba nilitoa mchango mkubwa kwa mtu. Hata mlinzi wangu hana sahani ya chakula nyumbani kwangu, mshahara wake unatosha!
Geremi Sorele Njitap Fotso ni mchezaji wa zamani wa Cameron, Chelsea, Real Madrid, Newcastle united na timu kadhaa !!
Chanzo: Mitandaoni
GENTAMYCINE nikiwa ninacho kamwe sitocha Kutoa au Kusaidia Watu kwani hata Mimi najua nilivyosaidiwa na Watu.
Kumbe kuwa Mtoaji ni mpaka uwe Tajiri sana? Kuna Watu ni Wapumbavu hapa duniani hadi Kinyaa.Kazitafute kwanza,halafu urudi hapa
Hakika.Huyo jamaa ana roho mbaya tu; uchoyo umemzidi. Achana naye na roho mbaya yake.
Pesa kwa wapumbavu huleta majivuno sana!Geremi Njitap: ''Mimi sio Eto'o, pesa zangu ni zangu
Yeye ni yeye, mimi ni mimi. Sikuteseka kwa miaka mingi kuokoa ulimwengu wote. Familia yangu imekuwa ikinilalalmikia lakini sijali.
Pesa zangu ni zangu tu, nisingecheza mpira nani angekuwa tayari kunisaidia?
Sinunui huruma. Hutasikia kwamba nilitoa mchango mkubwa kwa mtu. Hata mlinzi wangu hana sahani ya chakula nyumbani kwangu, mshahara wake unatosha!
Geremi Sorele Njitap Fotso ni mchezaji wa zamani wa Cameron, Chelsea, Real Madrid, Newcastle united na timu kadhaa !!
Chanzo: Mitandaoni
GENTAMYCINE nikiwa ninacho kamwe sitocha Kutoa au Kusaidia Watu kwani hata Mimi najua nilivyosaidiwa na Watu.
Kwahiyo kumbe hata kama ukiwa umetusua Kimaisha bila ya Kusaidiwa na Mtu hupaswi nawe kuwa Mtoaji kwa Watu?Nimemwelewa yeye hakusaidiwa na mtu
Hapa tu sina Kikubwa hicho lakini najitahi sana Kusaidia Watu mbalimbali nikianza na Wazazi wangu, Ndugu na Jamaa.Pogba Mali zake na jasho lake likamletea shida dhidi ya nduguze.
Obi Mikel Mali ni zake na misaada anawapa ila ndugu wakawa wa kwanza kumzingua kilazima atoe hela.
Adebayor naye alilalamika kuhusu tabia za ndugu anaowasaidia.
Genta ukiwa nazo jikaushe tu usije kuundiwa tume ukajutia kusaidia.
Bilgate mwenyewe hafanyi kwa helayake mfukoniKwahiyo kumbe hata kama ukiwa umetusua Kimaisha bila ya Kusaidiwa na Mtu hupaswi nawe kuwa Mtoaji kwa Watu?
Kuna mpwa (mtoto wa dada yangu) nilimsomesha from std 1 to form 4, hakufanya vizuri nikampa mtaji, akaharibu. Nyumbani kuna choo kibovu, anajisaidia hivyo hivyo na yeye ni fundi kujenga. Namwambia kwa nini hata huniambii materials gani ninunue urekebishe choo wakati unaufundi na nimekuandaa all the years kuwa msaada nyumbani,Geremi Njitap: ''Mimi sio Eto'o, pesa zangu ni zangu
Yeye ni yeye, mimi ni mimi. Sikuteseka kwa miaka mingi kuokoa ulimwengu wote. Familia yangu imekuwa ikinilalalmikia lakini sijali.
Pesa zangu ni zangu tu, nisingecheza mpira nani angekuwa tayari kunisaidia?
Sinunui huruma. Hutasikia kwamba nilitoa mchango mkubwa kwa mtu. Hata mlinzi wangu hana sahani ya chakula nyumbani kwangu, mshahara wake unatosha!
Geremi Sorele Njitap Fotso ni mchezaji wa zamani wa Cameron, Chelsea, Real Madrid, Newcastle united na timu kadhaa !!
Chanzo: Mitandaoni
GENTAMYCINE nikiwa ninacho kamwe sitocha Kutoa au Kusaidia Watu kwani hata Mimi najua nilivyosaidiwa na Watu.
Aiseee acha matusi we jonbaa wa mwanitesa fc ,acha kabisa Chelsea chama la wana timu ya mabingwa, ninyi vichwa panzi mna chuki binafsiUkishaskia tu mtu mchezaji amepitia chelsea ujue hana akili hakunaga kitu cha maana wanawaz zaidi ya mapenzi na usnitch John Terry aliamua kutembea na mpenzi wa mchezaji mwenzake Wayne Bridge akaleta u snitch kwa rafiki yake akiwa chelsea
Thibaut courtois alitembea na mpenzi wa De bruyne ambae mchezaji mwenzake wa timu ya taifa enzi akiwa chelsea.
Huyo pimbi nae ni kiazi vilevile
Acha Roho Mbaya ya Ulugume / Uchoyo Wewe...!!Yupo sahihi kabisa asilimia 100% Kila mtu apambane kivyake hamna kula jasho la mtu hapa duniani
Roho mbaya Gani wakati Kila mtu kaja kivyake duniani unataka kula jasho la mwenzio kwani yeye ndio kaja na wewe au kakuleta yeye duniani pambana kivyakoAcha Roho Mbaya ya Ulugume / Uchoyo Wewe...!!