kwenye zama hizi swala la kutoa kila mtu abaki kwenye namna yake...ki ukweli mtu mweusi masikini wamepitia maswahibu mengi kutoka kwa watu weusi wenzao wanaowazunguka kwenye jamii kipindi hawana kitu,kwahiyo wakipata nawaelewa sana mabadiliko yao ya tabia...mtu mweusi sio wa kumwonea huruma kwasababu mtu mweusi ni mwizi,mshirikina,msengenyaji,kigeugeu,mnafiki,mjinga,mvivu n.k