Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,882
Tupatie maelezo zaidi kuhusu bei,kodi,usafiri tafadhari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umenichekesha sana hii hapa ningumu sana kuitapa
Mna vipuri vya yamaha pikipiki?Tunaagiza pikipi za mtumba Kama ni mpenzi wa Pikipiki kubwa za kutembelea za Michezo ndogo za kawaida na vitu mbalimbali vya mtumba vilivyo tumika kidogo vipuli kama engine tukutane hapa
Mkuu waweza nichambulia bei za camera na sizes zake plus bei za lense piaView attachment 1278267View attachment 1278268View attachment 1278269
Computer kama za Toshiba Panasonic Hitachi National Fujisu Mashine za Juki Brother Mitsubishi Toyaota za kushaona nguo pia Fridge za mtumba mashine za kukufua nguo na kuosha vyombo Camera Biskeli za mtumba.
Tunafunga Container moja kila mwei kutoka Japan Dar Es salaam, Mombasa Durban Beira Kwa watu wa Lubumbashi wanaweza pia kuagiza mzigo ukifika dar Mzigo wa kwenda Lumbumshi unapakiwa kwenye Magari ya kwenda Lubumbashi.
Mizigo midogo mteja anachagua kusafirisha kwanja ya EMS au Container garama zinatofautina kulingana na njia ya usafiri kwa maeleo zaidi unaweza kupiga +255 764 837 757 au piga namba ya Japan +8190 1733 7447 Office zetu ziko Tabata na Zanziber kwa Japan ziko Chiba Tokyo area unaweza kupiga hizo simu kwamaelezo zaidi.
Boss nahitaji tv kampuni ya xiaomi used au mpya iwe smart naomba mwongozo utanicharge bei gani?Tunaagiza pikipi za mtumba Kama ni mpenzi wa Pikipiki kubwa za kutembelea za Michezo ndogo za kawaida na vitu mbalimbali vya mtumba vilivyo tumika kidogo vipuli kama engine tukutane hapa
Click sijakuelewa naomba unichambule kidogo
View attachment 1278828
Kwenye list ya Honda sijaona Clik kuna CL sijui ndio hii kama sio naomba uwacheki Japan watakupa majibu piga au whatspp
Sina akika kama inatenegezwa na Honda ndani ya Japan naomba unipe muda kesho mapema nakupa majibu
Mkuu Philippines hatuna office
Hivi hii inapakia mtu wa ziada!?Duh mchukulie hii mkuu inafaa sana milioni 7.5 kila kitu .
View attachment 1278263
Yap kama hii bei gani?View attachment 1278841
Kama hii mkuu
Ni 200 au 250 hondaDuh mchukulie hii mkuu inafaa sana milioni 7.5 kila kitu .
View attachment 1278263