Tunaagiza Pikipiki kubwa za mtumba

Tunaagiza Pikipiki kubwa za mtumba

Camera zipo nyingi kuna Digital na zile za mikanda inategemea unataka zipi pia ukubwa ni muhimu kuna lens za 100-200 kuna 800-200 inategemea unataka size gani kisha nitakupa bei
Cannon 7D na Mark II
 
nahitaji camera canon 5d mark iv, au nikon D850 naomba bei ya body pekeake
 
Imac nch 21 bei gani?
HDD iwe 1tera
Ram iwe 8gb
Processor kubwa
 
Baja Kama Io Nikitaka engine yake Ya mtumba Naweza pata kwa bei gani.... na Jee unaweza kuihack ikawa inqpigq starter.
Hata mimi nimeuliza baja 250 engine peke yake jibu hajatoa.

Baja ninayo wengi tumeweka mchina.
Hata Exhaust pipes zake mbalimbali pia angeweka bei.

Na bei ya shock absorber ya baja 200 au 250
 
Mkuu Honda XL cc 185 bado zinazalishwa na kampuni ya honda kweli kuna vipuli nataka kununua nataka nifufue Honda ya mzee...
 
Malipo ni baada ya kufikisha mzingo au nalipa kabla??
 
Mtoa mada hajibu maswali. Mtu hajajipanga na hajui customer service au care
 
Malipo ni baada ya kufikisha mzingo au nalipa kabla??
Malipo yanafanyika kabla unatakiwa kua na current balance sawa na price unaweza kuweka salio na kutoa kwanjia nyingi lazima uki-create account kwenye webite yetu .

Unaweza kuweka salio lako kwanjia ya Tigo-pesa M-Pesa na mitandao mingine kisha tuma user Name utawekewa balance yako.

Pia kuna PayPal Getaway inafanya kazi kama una access unawea kuweka salio. Pia unaweza kuleta cash officen au unaweza kutuma moja kwa moja Japan kuna code utapewa pesa zikisoma kwenye acount unaweka balance yako kwenye account yako.Manunuzi yote yanafanyika kupitia kwenye website
 
Baja ninayo wengi tumeweka mchina.


(1) Hata mimi nimeuliza baja 250 engine peke yake jibu hajatoa.

(2) Na bei ya shock absorber ya baja 200 au 250
 
Honda 250 XLR bei gani hadi Tz? Au Znz mwauza bei gani?
 
Tunaagiza pikipi za mtumba Kama ni mpenzi wa Pikipiki kubwa za kutembelea za Michezo ndogo za kawaida na vitu mbalimbali vya mtumba vilivyo tumika kidogo vipuli kama engine tukutane hapa
Nahitaji kiki na stend ya EXR
 
Nahitaji freezer aina ya zile za wima ila iwe freeza tu bila fridge na zile deep freezer yaani za chini..za chini ziwe kuanzia futi sita hadi saba..naomba bei take Kwa mtumba na mpya I'll nione
 
Unataka mpya ? Mpya laki 150 yamtumba itasumbua ningumu kujua kama ni nzima bora uchukue mpya
Sawa unayo ofisini ?
Hata yale mabampa mawili ya nyuma yale unavyo hapo ? Yaani full mzki indicator za baja. Exhaust pipe sio super trax ya baja kawaida
 
Back
Top Bottom