Tunaagiza Pikipiki kubwa za mtumba

Tunaagiza Pikipiki kubwa za mtumba

Utapeli unaojaribu humu wa kukukusanya pesa za watu eti utawaagizia bidhaa kutoka nje ushapitwa na wakati. Huu ni utapeli wa miaka ya 90 kabla ya kushamiiri kwa teknolojia ya internet na simu za viganja.
Mkuu umenichekesha sana mbona unaongea kama mulozi unaweza thibiditasha utapeli toa njia mbadala wambie watu wasije kwangu kutapeli badalayake waje kwako uwauzie usionge jumla jumla fafanua .Kuna watu wanashida na vitu mbali mbali kutoka Japan unawatisha bila kuwaelekeza njia sahihi jinsi ya kutumia teknolojia ya simu na kupata vitu bure.
 
Utapeli unaojaribu humu wa kukukusanya pesa za watu eti utawaagizia bidhaa kutoka nje ushapitwa na wakati. Huu ni utapeli wa miaka ya 90 kabla ya kushamiiri kwa teknolojia ya internet na simu za viganja.
Naona wewe hukumuelewa mtoa post.... amesema kila kitu kinafanyika kwenye website yao including ordering na kufanya malipo. Sio hapa JF!
Mtoa mada amejitahidi sana kuwajibu watu na kuwaelekeza namna ya kufanya na amewapa muda watu ili akafuatilie baadhi ya vitu vilivyoulizwa na wateja.
 
Hii kitu naitamani sana ila kuipata hizo tairi zikiisha nafikiri itakuwa mtihani sana
Tairi zipo hapa Nchi ukitaka za Japan zipo bei yake kidogo ukilingani na hapa imechangamka unachokifanya unatuma order kupitia kwenye webisite yetu una loign kisha unaingia kwenye forum unapost tairi namba utapewa bei ukilipia unasafirishiwaa kwanjia ya container au EMS.
 
Mkuu, nimejaribu kuregister kwenye website yenu imenigomea..... Imeandika, ''ERROR: You are not allowed to register''
 
Mkuu itakua ngumu sana kujua Honda gani nipe muda nikipata mtu anayezijua vizuri nitakupa bei

Kwa maelezo yake
IMG_4998.JPG
Pengine anamaanisha hiki chombo.
 
bado sintofahamu nyingi. Mara mna mnada FB wiki ijayo yaani nataka shock absorber au stend ya baja ndio nije kwenye mnada wenu FB

sio kwamba vitu hivi wengine hawana ila tofati hawajatumia njia hii ya JF za kuwafikia wateja mi naanza kuwaogopa
angalau mngekuwa na physical address hapa mjini DSM mngeeleweka.
 
Tunaagiza pikipiki za mtumba (Honda, Kawasaki, Suzuki, KTM na BMW), kama ni mpenzi wa Pikipiki kubwa za kutembelea, za Michezo, ndogo, za kawaida na vitu mbalimbali vya mtumba vilivyotumika kidogo na vipuli kama engine tukutane hapa

Mizigo midogo mteja anachagua kusafirisha kwanja ya EMS au Container garama zinatofautina kulingana na njia ya usafiri.

Kwa maeleo zaidi unaweza kupiga +255 764 837 757 au piga namba ya Japan +8190 1733 7447 Office zetu ziko Tabata na Zanziber kwa Japan ziko Chiba Tokyo area unaweza kupiga hizo simu kwamaelezo zaidi.

View attachment 1282264

View attachment 1282267


View attachment 1282265
Hiyo pikipiki iliyoandikwa Toshiba mnauzaje?
 
Bila shaka zitafanya kazi..... Kuna jamaa yangu amekuja na TV ya kijapan, nadhani ina jina la SONY Aquous. Ilibidi atafute STEPDOWN Transformer yenye kupunguza umeme kutoka 220V kwenda 110V.
TV zipo bado tuko kwenye utafiti kujua kama zinafanya kazi huku zimepakiwa mbili zikifika zikafanya kazi nitaktafuta naomba ingie kwenye webste kwenye forum utume request zikifanya kazi utapewa taarifa
 
Back
Top Bottom