Tunaagiza Pikipiki kubwa za mtumba

Tunaagiza Pikipiki kubwa za mtumba

Nikipata nitakuche bado sijapata bei
Yaani kuhusu baja Xlr 200 au 250

Weka spea zote
1.Tairi zote
2. Frame bila Engine
3.Engine peke yake
4. Stend i
5. Dashboard ya Baja
6.wiring
7. Indicator
8. Pipe exhaust
9.indicator
10.taa ya nyuma
11.taa ya mbele na frame yake
12. Kiti
13. Sprocket set
14 mnyororo
15. Shock absbober
16.Carburettor
17.Switch zote L/R
18.foot rest za psg
19.Side mirrors

Hivi vitu weka mzigo mabaja mengi yamepigwa mchina. Au onyesha bei fuata list na sisi tunanipanga huku
 
Naona tunaongea lugha moja sasa
Sijafanya utafiti kujua demand ya spare za Baja wiki ijayo tutakua live auction kupitia kwenye webite yetu YouTube na Facebook wewe kama ni muuzaji wa vipuli vya pikipiki jitambulishe utapata punguzo ya bei pia unawea kuto maelekezo mzigo wako jinsi ya kuandaa hii kazi tutafanya vijana wako. Volume ya mizigo kwenye line ya Dar ikiongezeka bei za bidhaa zitapungua
 
Hilo fridge mbona lina watts nying 400 hapo umeme utaukimbia.
 
Muda gani hadi bidhaa kufika Tz?

Pikipiki Honda 250 xlr bei gani?
 
Nakuja kuchukua shock absorber ya baja umesea 150k uko wapi ?
 
Kamanda kichwa cha uzi wako ni tofauti na vitu vilivo ndani naona majenereta, mashine mbalombali nk

Ushauri :-
ungebadili kichwa cha uzi na kuandika naagiza vitu mbalimbali vya umeme au unaweza weka namna nyingine
Tunaagiza pikipi za mtumba Kama ni mpenzi wa Pikipiki kubwa za kutembelea za Michezo ndogo za kawaida na vitu mbalimbali vya mtumba vilivyo tumika kidogo vipuli kama engine tukutane hapa
 
Utapeli unaojaribu humu wa kukukusanya pesa za watu eti utawaagizia bidhaa kutoka nje ushapitwa na wakati. Huu ni utapeli wa miaka ya 90 kabla ya kushamiiri kwa teknolojia ya internet na simu za viganja.
 
Utapeli unaojaribu humu wa kukukusanya pesa za watu eti utawaagizia bidhaa kutoka nje ushapitwa na wakati. Huu ni utapeli wa miaka ya 90 kabla ya kushamiiri kwa teknolojia ya internet na simu za viganja.
Kazi imeanza labda anakusanya pesa za rambi rambi.
 
Back
Top Bottom