Tunaagiza Pikipiki kubwa za mtumba

Utapeli unaojaribu humu wa kukukusanya pesa za watu eti utawaagizia bidhaa kutoka nje ushapitwa na wakati. Huu ni utapeli wa miaka ya 90 kabla ya kushamiiri kwa teknolojia ya internet na simu za viganja.
Mkuu umenichekesha sana mbona unaongea kama mulozi unaweza thibiditasha utapeli toa njia mbadala wambie watu wasije kwangu kutapeli badalayake waje kwako uwauzie usionge jumla jumla fafanua .Kuna watu wanashida na vitu mbali mbali kutoka Japan unawatisha bila kuwaelekeza njia sahihi jinsi ya kutumia teknolojia ya simu na kupata vitu bure.
 
Utapeli unaojaribu humu wa kukukusanya pesa za watu eti utawaagizia bidhaa kutoka nje ushapitwa na wakati. Huu ni utapeli wa miaka ya 90 kabla ya kushamiiri kwa teknolojia ya internet na simu za viganja.
Naona wewe hukumuelewa mtoa post.... amesema kila kitu kinafanyika kwenye website yao including ordering na kufanya malipo. Sio hapa JF!
Mtoa mada amejitahidi sana kuwajibu watu na kuwaelekeza namna ya kufanya na amewapa muda watu ili akafuatilie baadhi ya vitu vilivyoulizwa na wateja.
 
Mkuu vipi naweza pata honda xl zile nyekundu
 
Hii kitu naitamani sana ila kuipata hizo tairi zikiisha nafikiri itakuwa mtihani sana
Tairi zipo hapa Nchi ukitaka za Japan zipo bei yake kidogo ukilingani na hapa imechangamka unachokifanya unatuma order kupitia kwenye webisite yetu una loign kisha unaingia kwenye forum unapost tairi namba utapewa bei ukilipia unasafirishiwaa kwanjia ya container au EMS.
 
Mkuu, nimejaribu kuregister kwenye website yenu imenigomea..... Imeandika, ''ERROR: You are not allowed to register''
 
bado sintofahamu nyingi. Mara mna mnada FB wiki ijayo yaani nataka shock absorber au stend ya baja ndio nije kwenye mnada wenu FB

sio kwamba vitu hivi wengine hawana ila tofati hawajatumia njia hii ya JF za kuwafikia wateja mi naanza kuwaogopa
angalau mngekuwa na physical address hapa mjini DSM mngeeleweka.
 
Hiyo pikipiki iliyoandikwa Toshiba mnauzaje?
 
Bila shaka zitafanya kazi..... Kuna jamaa yangu amekuja na TV ya kijapan, nadhani ina jina la SONY Aquous. Ilibidi atafute STEPDOWN Transformer yenye kupunguza umeme kutoka 220V kwenda 110V.
TV zipo bado tuko kwenye utafiti kujua kama zinafanya kazi huku zimepakiwa mbili zikifika zikafanya kazi nitaktafuta naomba ingie kwenye webste kwenye forum utume request zikifanya kazi utapewa taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…