Tunaagiza Pikipiki kubwa za mtumba

Zenye ukubwa gani ndogo kubwa zote zipo zinatumia umeme wa 110 tatizo kwa upande wa mashine ndogo zina Watt kubwa converter za watt kubwa hatuna labda ununue na generator yake, Mashine Kubwa za three phase mota zake zina na option ya 220
Mbona Zina umeme mkubwa sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…