Tunaandamana kwasababu gani, kutoka wapi kwenda wapi kwa nani?

Hebu nielimisheni, watu wanatakiwa kwasababu gani? Maandamano yanatoka wapi kuelekea wapi? Nani atayapokea maandamano na Hatima kabisa ya maandamano ni nini?
Jeshi letu pendwa la Polisi limeandamana kwa niaba ya Chadema. Kwa jinsi walivyojizatiti kuleta maafa na vifo kwa waandamanaji wamesaidia kufikisha ujumbe uliokusudiwa kwa dunia nzima. Malalamiko ya Chadema ni ukandamizaji wa demokrasia nchi kwa kutumia mabavu ya vyombo vya dola hasa Polisi, kwa maandamano yao na zana zao za maangamizi wamemaliza kila kitu. Polisi wameandamana kwa niaba ya Chadema kwa gharama za Serikali.
 
Akina Mbowe tu wanataka kuwatumia watu kufanikisha malengo yao na wafadhili wao walio nje.

Vijana wanatumika kiboya kwa kujazwa propaganda eti za kudai uhuru na haki. Haya majamaa wakati wa Magu yalikimbia nchi kwa vile alikuwa anawatupa jela kwa kesi za uwongo, alikuwa anaua wengine kama kina Ben Saanane.

Samia amekuja kabadili yote ila wao wametaka kumpanda kichwani. Waache wachezee kichapo cha Polisi
 
Jeshi letu pendwa la Polisi limeandamana kwa niaba ya Chadema. Kwa jinsi walivyojizatiti kuleta maafa na vifo kwa waandamanaji wamesaidia kufikisha ujumbe uliokusudiwa kwa dunia nzima. Malalamiko ya Chadema ni ukandamizaji wa demokrasia nchi kwa kutumia mabavu ya vyombo vya dola hasa Polisi, kwa maandamano yao na zana zao za maangamizi wamemaliza kila kitu. Polisi wameandamana kwa niaba ya Chadema kwa gharama za Serikali.
Dunia nzima ndiyo ipi inafuatilia utopolo wenu huku!! Waache kufuatilia mambo ya Ukraine, Lebanon na Gaza? Waje waangalie usanii wa Mbowe??
 
Hebu nielimisheni, watu wanatakiwa kwasababu gani? Maandamano yanatoka wapi kuelekea wapi? Nani atayapokea maandamano na Hatima kabisa ya maandamano ni nini?
 
Attachments

  • 20240923_105848.jpg
    20240923_105848.jpg
    97.7 KB · Views: 2
  • 20240922_155031.jpg
    20240922_155031.jpg
    99.9 KB · Views: 2
Kumbe taarifa za Habari za usiku saa mbili, huwa zinatengenezwa aidha kusababishwa na watu🤣 m nilijua n mfumo wa dunia
 
Jeshi letu pendwa la Polisi limeandamana kwa niaba ya Chadema. Kwa jinsi walivyojizatiti kuleta maafa na vifo kwa waandamanaji wamesaidia kufikisha ujumbe uliokusudiwa kwa dunia nzima. Malalamiko ya Chadema ni ukandamizaji wa demokrasia nchi kwa kutumia mabavu ya vyombo vya dola hasa Polisi, kwa maandamano yao na zana zao za maangamizi wamemaliza kila kitu. Polisi wameandamana kwa niaba ya Chadema kwa gharama za Serikali.
Hata UN na EU wameshindwa kusimamia demokrasia na mauaji kule Palestine, Ukraine, DR Congo, Sudan, Yemen, Syria, Haiti, Sahel, Libya, Iraq, Russia, Lebanon, Afghanistan, Afrika ya Kati, nk. Haya maandamano yetu tunampelekea nani, au kuna lingine ambalo halisemwi?

View: https://www.youtube.com/watch?v=gpZ9hZjfdMk
 
Watu wanatekwa na kuuwawa na hakuna uchunguzi wala maelezo yeyote kutoka serikalini
Nani wanatekwa? kwanini wametekwa na wametekwa na nani?

Mbona watoto wetu wako Canada, hawa wanaoandamana huku ni watoto wa nani?
 
Hebu nielimisheni, watu wanatakiwa kwasababu gani? Maandamano yanatoka wapi kuelekea wapi? Nani atayapokea maandamano na Hatima kabisa ya maandamano ni nini?
hata ukijibiwa baada ya saa 24 utauliza tena swali hilo hilo coz MTZ wewe ni mbumbumbu ndo maana kiboko ya wachawi anawacheka sana huko alipo
 
Sio ya kijinga, ila huna majibu hata wewe. Jibu swali hili rahisi, kwanini wewe hujatekwa pia wametekwa wao tu?
Kuna mtu huko amekwambia unatusumbua.

Kisa mimi sijatekwa ni haki mwingine kutekwa? najuaje niko salama?

Nitajua niko salama pale vyombo husika vitakapofanya uchunguzi kedekede ulio pending na kufikisha watuhumiwa mahakamani, kinyume na hapo sote hatuko salama. Hata ninyi huko CCM (refer issue ya nape kunyooshewa bastola na yule mtu mrefu, nimekuheshimu sana kukujibu.

Grow up.
 
Back
Top Bottom