Nakushukuru umekiri kuwa watekaji ni ninyi, ila unajaribu kujustify kwanini mmewateka.
Kwahiyo masauni wakati anaenda msibani na kurudi mara mbili mbili alienda kuwahadhithia familia ya Mzee kibao (RIP) wasifu wake? Kule kujipendekeza ghafla kulitokea wapi? Kubalini mmefanya wrong moves na haya yote yanayoendelea chanzo ni nyie kukosa akili. Mashimo mliyoyatengeneza mnayafukia kwa gharama za kumwaga askari jiji zima, shame!
Baada kuona watu hawaelewi mkaanza kufoka, Akili tu ingezuia haya yote, ila sababu ni haramu huko kwenu kutumia akili ndio mko hapa kuhamisha mijadala.
Na kwanini mlitaka muwape CDM kesi ya utekaji huku mkijua mnowateka “mna jambo nao”? Was it fair CDM kwenda kulipa kwa makosa ya ujinga wenu?
Ushauri wa mwisho… Bomoeni hizo mahakama ili “wenye pattern za tabia fulani fulani” muwe mnawateka tu.
Rais aliyewaweka wale uamsho magereza kwa miaka mlimuona mjinga ninyi ndio wajanja?