Watu wanatekwa na kuuwawa na hakuna uchunguzi wala maelezo yeyote kutoka serikalini
Ili kujua uko salama au laa, utatekwa au hautatekwa ni kutafuta wasifu wa waliotekwa, kazi na tabia zao kwanza ili kuona pattern inakwendaje.Kuna mtu huko amekwambia unatusumbua.
Kisa mimi sijatekwa ni haki mwingine kutekwa? najuaje niko salama?
Nitajua niko salama pale vyombo husika vitakapofanya uchunguzi kedekede ulio pending na kufikisha watuhumiwa mahakamani, kinyume na hapo sote hatuko salama. Hata ninyi huko CCM (refer issue ya nape kunyooshewa bastola na yule mtu mrefu, nimekuheshimu sana kukujibu.
Grow up.
Na wakati mwingine shida ya inzi kwako inaweza kutatuliwa kwa kutupa kile kinachotoa harufu mbaya kwenye mfuko wa koti lako.Nyie hamkuwepo miaka ya mwishoni ya 70's na mwanzoni mwa 80's. Kuna watu walikuwa wanaitwa mumiani. Walitusumbua sana. Baadaye wakaja kupotea. Sasa wamekuja kivingune tena.
😛
Nakushukuru umekiri kuwa watekaji ni ninyi, ila unajaribu kujustify kwanini mmewateka.Ili kujua uko salama au laa, utatekwa au hautatekwa ni kutafuta wasifu wa waliotekwa, kazi na tabia zao kwanza ili kuona pattern inakwendaje.
Na wakati mwingine shida ya inzi kwako inaweza kutatuliwa kwa kutupa kile kinachotoa harufu mbaya kwenye mfuko wa koti lako.
Siungi mkono watu kutekwa lakini siungi mkono kuja na majibu ya moja kwa moja kwamba wanatekwa na serikali. Kufikiria hivyo ni sawa na Elon Musk kuuliza kwanini ni Trump tu anaetaka kuawa mara zote, mbona Biden/Harris hakuna anaetaka kuwaua?. Hapa anamaanishia ni serikali inahusika kutaka kumuua Trump. Lakini serikali ilitoa kalipio kali sana kwa Elon hadi ikambidi afute ujumbe wake huo kwenye mtandao wake wa X (twitter).Nakushukuru umekiri kuwa watekaji ni ninyi, ila unajaribu kujustify kwanini mmewateka.
Kwahiyo masauni wakati anaenda msibani na kurudi mara mbili mbili alienda kuwahadhithia familia ya Mzee kibao (RIP) wasifu wake? Kule kujipendekeza ghafla kulitokea wapi? Kubalini mmefanya wrong moves na haya yote yanayoendelea chanzo ni nyie kukosa akili. Mashimo mliyoyatengeneza mnayafukia kwa gharama za kumwaga askari jiji zima, shame!
Baada kuona watu hawaelewi mkaanza kufoka, Akili tu ingezuia haya yote, ila sababu ni haramu huko kwenu kutumia akili ndio mko hapa kuhamisha mijadala.
Na kwanini mlitaka muwape CDM kesi ya utekaji huku mkijua mnowateka “mna jambo nao”? Was it fair CDM kwenda kulipa kwa makosa ya ujinga wenu?
Ushauri wa mwisho… Bomoeni hizo mahakama ili “wenye pattern za tabia fulani fulani” muwe mnawateka tu.
Rais aliyewaweka wale uamsho magereza kwa miaka mlimuona mjinga ninyi ndio wajanja?
Sinà uhakika kama mwanasiasa akisema mkituchagua sisi tutafanya hili na lile vizuri zaidi kuliko CCM atatekwa,.Watu wanatekwa na kuuwawa na hakuna uchunguzi wala maelezo yeyote kutoka serikalini
"Haya majamaa wakati wa Magu yalikimbia nchi kwa vile alikuwa anawatupa jela kwa kesi za uwongo, alikuwa anaua wengine kama kina Ben Saanane"Akina Mbowe tu wanataka kuwatumia watu kufanikisha malengo yao na wafadhili wao walio nje.
Vijana wanatumika kiboya kwa kujazwa propaganda eti za kudai uhuru na haki. Haya majamaa wakati wa Magu yalikimbia nchi kwa vile alikuwa anawatupa jela kwa kesi za uwongo, alikuwa anaua wengine kama kina Ben Saanane.
Samia amekuja kabadili yote ila wao wametaka kumpanda kichwani. Waache wachezee kichapo cha Polisi
Wameharibu wenyewe maridhiano ambayo Samia aliyaanzisha. Waache wacheze "ngondoigwa", wameitaka wenyeweKwa hiyo wewe unaona ilikuwa sawa na haki?
Akili ndogo, sikulaumuSinà uhakika kama mwanasiasa akisema mkituchagua sisi tutafanya hili na lile vizuri zaidi kuliko CCM atatekwa,.
Matokeo ya maandano yanaweza kuwa kati ya yafuatayo!:
1. Watalii kupungua kuja kwetu
2. Wawekezaji kupungua kuogopa kutekwa
3. Wananchi kuporwa na waandamaji
4. Wasiokuwa na hatia kufa kwenye maandano
5. Watu watachelewa kufika kazini kwao
6. Nchi kunyimwa misaada na mikopo.
7. Serikali kutumia fedha nyingi kusimamia au kuzima maandamano. Fedha ambayo ingetumika kutoa mikopo kwa watoto wetu vyuoni.
Tumewashtukia, walivuruga mkutano wa kupata katiba mpya kwa kuunda Ukawa kudai serikali 3 na muungano wa Mkataba, sasa wamehomea suluhu ya mama Samia. Maandamano wanajua kuwa hayatafua dafu kwa tawala za kiafrika lakini hayana budi kwaajili ya wafadhili wao wazungu Ku justify matumizi ya fedha zaoWameharibu wenyewe maridhiano ambayo Samia aliyaanzisha. Waache wacheze "ngondoigwa", wameitaka wenyewe
Muda wa kuandamana bado sana Tanzania aloo. Watanzania wengi hawajafikishwa pala pagumu saaaana kiasi hicho. Watanzania wengi still have something to lose, sio propertiless au homeless. Kiongozi anakamatwa na polisi halafu wafuasi wake wanaendelea kunywa bia mitaani? Wale tunaowaona wakizunguusha mikono yao wakati wa mikutano ya kampeni za uchaguzi wako wapi japo robo yao TU kufanya balaa kwa kiongozi wao kukamatwa?Umekwisha ambiwa una upungufu wa akili kwa hiyo endelea kulamba matapishi ya mabwana zako!