Tunachelewa nini kumalizana na huyu Elie Mpanzu ili asaini haraka Simba SC? Naomba ndani ya Siku Tatu zijazo muwe mmeshamalizana nae tafadhali

Tunachelewa nini kumalizana na huyu Elie Mpanzu ili asaini haraka Simba SC? Naomba ndani ya Siku Tatu zijazo muwe mmeshamalizana nae tafadhali

Ni kama Simba wapo serious saiv, sajili zinaonekana za kawaida ila Kuna combination inatengenezwa.
Msimu ujao wale Wote wanaotudharau Simba SC nina uhakika watakuja Kuulizana ni wapi safari hii Tumejitafuta na Kujipata kwani hawatoamini kwa Mpira mkubwa, mwingi na Mafanikio makubwa ya Ndani na Nje ambayo Simba SC inaenda Kuyapata. Itunzeni hii Post yangu tafadhali.
 
Simba sport club inatarajiwa kupata mdhamini katika nchi ya uingereza katika kuwekeza na kukuza vipaji vya vijana Simba sport club Academy 2027. Kila la kheri Simba club.
 
Msimu ujao wale Wote wanaotudharau Simba SC nina uhakika watakuja Kuulizana ni wapi safari hii Tumejitafuta na Kujipata kwani hawatoamini kwa Mpira mkubwa, mwingi na Mafanikio makubwa ya Ndani na Nje ambayo Simba SC inaenda Kuyapata. Itunzeni hii Post yangu tafadhali.
Ndicho kipindi chenu hiki cha kujifariji,kufurahi na kujipa matumaini but ligi ikifika kati mnaanza kumtukana na kumsumbua Mzee wetu Ngungus Boy wakati hapa mnakiri kuwa usajili huu unafanywa na mnaojiita wenye 5imba yenu.
 
Kocha anayetajwa kujiunga na klabu ya Simba SC Fadlu Davids hii ndio profile (wasifu wake kwa ufupi)

👉🏽Hajawahi kuwa kocha Mkuu nje ya Afrika Kusini.

👉🏽Mafanikio yake makubwa ni Ubingwa wa Ligi na Kombe la Mfalme Morocco akiwa na Raja Casablanca

👉🏽Amewahi kuishusha Daraja Maritzburg United

👉🏽Amewahi kuiokoa Maritzburg isishuke daraja kwenye ligi

👉🏽Uzoefu wake unahusisha nafasi za kocha msaidizi Afrika Kusini,Zimbabwe,Russia na Morocco kote akifanya kazi chini ya Kocha Joseph Zinnbauer (raia wa Ujerumani)

👉🏽 Ana PRO LICENCE ya UEFA

Mwisho wa kunukuu
 
Hakuna kipindi simba walikua na matumaini makubwa kama msimu uliopita,,,wachezaji wanaosajiliwa sasa hawana uzoefu kama walisajiliwa msimu uliopita lakini kuna dalili za simba kuwa na timu nzuri msimu wa 25/26,,,ila msimu wa 24/25 ni wa yanga tena.
 
Back
Top Bottom