Tunachimba visima vya maji popote Tanzania

Zinafanyeje kazi? Unaweza ukawa na pumpu ya kuvutia maji ikafaa? Msaada please.
Lazima uwe na pump maana zinahitaji maji yenye pressure, kama huna pump ni bora uchukue mfumo wa drip irrigation,,
 
Na Mafinga je?
Mkuu kama nilivyosema awali, hizi gharama zinaweza kupungua ukipata huduma karibia na mkoa unapotaka kuchimba, sasa kwa mafinga tutatumia mashine iliyopo morogoro kwa bei ya laki 6 tu.
 
Naomba kuuliza.

Vipimo kabla ya kuchimba vinaweza kuonyesha kwamba maji yatakayotoka yatakuwa mazuri kwa matumizi? Kuna mengine yanatoka na flouride nyingi sana isiyo salama kwa matumizi ya binadamu.
 
Naomba kuuliza.

Vipimo kabla ya kuchimba vinaweza kuonyesha kwamba maji yatakayotoka yatakuwa mazuri kwa matumizi? Kuna mengine yanatoka na flouride nyingi sana isiyo salama kwa matumizi ya binadamu.
Inasemekana zipo mashine za namna hiyo ila mimi sijafanikiwa kuiona, kuna baadhi ya surveyors wanapendaga kutoa maneno ya kuridhisha ili apate kazi tu, ila uwezo wa kugundua madini kwenye maji unafanyika maabara baada ya kupata sample ya maji.. Sasa hapo jiongeze.
Pale wizara ya maji wasingeweka water laboratory test kama kungekuwa na mashine ya ubora huo.
 
Umeeleweka mkuu... sio kujua bei tu ukabishanie kijiweni ...tafuta fundi akupimie ujue unachotaka alafu mcheki jamaa
 

Weka bei kwa hizo dimension unakwepa nini maneno mengi!
 
kuna jamaa alinambia kuchimba laki sita kisima cha mkono
 
Hatari sana!!!....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…