Hofumoyoni
Member
- Nov 28, 2019
- 71
- 99
Nilimaanisha meter 100.Unataka kuchimba kisima cha mkono au mashine, na unachimbia mkoa gani?
Kuchimba kwa mashine, eneo ni Kiwangwa Bagamoyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilimaanisha meter 100.Unataka kuchimba kisima cha mkono au mashine, na unachimbia mkoa gani?
8,500,000/=Nilimaanisha meter 100.
Kuchimba kwa mashine, eneo ni Kiwangwa Bagamoyo
Hizi bei kwa kwa kila mita moja?
Sawa mkuu, nakuombea upate hiyo kazi, ili nami nipate mteja.Nikipata kazi ya sensa nitakuchangia hio Honda. Nina mpango wa kukausha mto Mara😂
Kazi ziendelee👍👍Habari wadau wa ujenzi.
Zile huduma za ufundi wa miundombinu ya maji safi na maji taka zinaendelea.
Ikiwa upo kwenye ujenzi au mradi unaohitaji kujenga au kurekebisha system za maji usisite kuwasiliana nasi.
Kuanzia hesabu za materials, kufunga bomba, fittings, fixtures installations, heating systems, pump systems, tanks, pressure systems, n.k
Kumbuka ushauri na kufanya cost analysis ni bure kabisa.
Call/sms/whasapp 0699 494650
Popote tunakufikia.
View attachment 2272555View attachment 2272556View attachment 2272557View attachment 2272558View attachment 2272572View attachment 2272573View attachment 2272574
Mko wapi?Habari wadau wa ujenzi.

Dar es salaam.Mko wapi?
AminaKazi ziendelee👍👍
Sawa mkuu wadau tunaona kazi zenu nzuriDar es salaam.
Mikoani tunaenda pia.
Vyoo 70k@3= 210kFitting ya vyoo vitatu, jiko na dining mnafanya kwa bei gani??
Eneo?Ndio mkuu, bei za uchimbaji zinakuwa kwa mita moja kwenda chini ya ardhi
Ukishatumbukiza sasa inakuaje mbona maelezo hayajitoshelezi?View attachment 2277999
Pump za kutumbukiza kwa maji safi na maji taka
Kuanzia hp 1 .
Kuanzia 350,000/= tu.