Tunachimba visima vya maji popote Tanzania

Tunachimba visima vya maji popote Tanzania

Ukishatumbukiza sasa inakuaje mbona maelezo hayajitoshelezi?

eleza kiundani mkuu jf haina kiwango cha maneno ya kuandika kama simu za maandishi
Yah ni unatumbukiza kwenye kisima, au bwawa au shimo lenye maji wengine wanatumia hadi migodini kufanya dewatering, unaconnect kwenye socket ya umeme inavuta maji, so unaweza kuvunia maji kutoka kwenye tank la maji taka ukayapeleka maji kwa matumizi ya bustani, n.k
 
Hello
Unayo pump ya solar kwa ajili ya hivi visima vyetu vyenye bomba za nchi nne
 
Inasemekana zipo mashine za namna hiyo ila mimi sijafanikiwa kuiona, kuna baadhi ya surveyors wanapendaga kutoa maneno ya kuridhisha ili apate kazi tu, ila uwezo wa kugundua madini kwenye maji unafanyika maabara baada ya kupata sample ya maji.. Sasa hapo jiongeze.
Pale wizara ya maji wasingeweka water laboratory test kama kungekuwa na mashine ya ubora huo.
Ninamaanisha mashine ya aina hii.
Ambapo,Wingi wa maji unaupata kwa kuangalia Density katika asilimia(Kumbuka Density=Mass/Volume).
Pia aina ya maji na kina unaweza kuona mwenyewe taarifa zote zinazoonyeshwa kwenye Screen.Usichimbe kisima kwa kubahatisha PIMA kwanza NASI KWA NJIA ZA KISASA.KARIBUNI.
20220515_132717.jpg
20220415_115849.jpg
 
Salamu kwenu.

Wadau wa kilimo, ufugaji na mazingira , napenda kuwaletea bidhaa zitakazo saidia kuongeza tija kwenye miradi yenu.

#1 Sprinkler kwa umwagiliaji wa kisasa kwenye mashamba, bustani, n.k

Zimetengenezwa kwa shaba,
size yake ni robo tatu( 3/4).
Inamwagilia kipenyo cha mita 29.

Nunua sasa kwa
45,000/= tu kuanzia pc tatu,
55,000/= kwa pc moja.


#2 pump ya Royalty Italy
Yenye ubora, nzuri kwa umwagiliaji na usambazaji wa maji.
0.5 Horse power
Inatumia Umeme
Lita 40/dakika
Bei ni 200,000/=

#3 pump ya Honda
Inatumia petroli
6.5 horse power
Inch 2
Lita 500/dakika
Bei ni 350,000/=

Tupo Gerezani, DSM, mikoani tunatuma.
0699 494650
View attachment 2267425View attachment 2267429View attachment 2267431
View attachment 2267436
Screenshot_20220717-091331_1658038442191.jpg

On the way to Bukoba
Asante.
Karibuni tena na tena.
 
IMG-20220616-WA0001.jpg
Honda gasoline water pump ,tayari kwa kusafirishwa .
 
Back
Top Bottom