- Thread starter
- #361
Bei gani unauza ...unazo za aina gani? Picha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei gani unauza ...unazo za aina gani? Picha?
2 hp inaenda kwa 450,000/=
Jibu limejitosheleza sana mkuu wangu.
Hakika nitakutembelea soon kukuungisha Mdau..
2 hp inaenda kwa 450,000/=
Ipo 15 hp, 18.5 hp na 25 hpSewage pump 20hp na 15hhp, naomba bei zake
Mkuu unaposema full na solar yake una maanisha nn?pia nikitoa 1.8 inamaanisha ni kuja kuifunga tu? Na ni HP ngapi iyo?Kwa matumizi gani sasa mkuu, ? submersible ya mita 70 ndio minimum na bei yake ni 1.8 M
Kwa bwawa ipo ndogo kwa 850k
Kwa surface pump ndogo ni 1.7M
Hizi ni complete set pump na solar zake
Nitumie namba yako inbox mkuu tuongee zaidiMkuu unaposema full na solar yake una maanisha nn?pia nikitoa 1.8 inamaanisha ni kuja kuifunga tu? Na ni HP ngapi iyo?
Ina coverMkuu unaposema full na solar yake una maanisha nn?pia nikitoa 1.8 inamaanisha ni kuja kuifunga tu? Na ni HP ngapi iyo?
Chukua tu hapa hapa 0699494650Nitumie namba yako inbox mkuu tuongee zaidi