Tunachimba visima vya maji popote Tanzania

Inayotumia petroli. Kutoka mtoni hadi shambani ni mita 300.
Petroli hapo haifui dafu.
Mkuu kwa mita hizo inabidi upate mashine ya Diesel ya KAMA TYPE, 10 hp, 4 inch
images (16).jpeg
 
Pump yenye sifa zipi inayo uwezo wa kusukuma maji meter 500 au kilometa moja toka mtoni
Chukua diesel water pump za inch 4 zinanguvu za kusafirisha maji umbali mrefu ila kusiwe na muinuko mkubwa
 
Mkuu EVIGT nikichimba kisima shambani(borehole) nitaweza kupata pump ya "borehole lineshaft pump water pump" inayoendeshwa kwa diesel iwe Kama inch 4 itakayoweza kumwagilia mpunga kwenye ekari 15.

Niliona picha ya pump mtandaoni(mfano wake) japo sio inch 4,je hapa Tanzania zinapatikana ikiwemo kwa kuagiza?

Nina attach picha hapa uione pump yenyewe.

Majibu tafadhali,Asante.
Screenshot_20221029-220432.jpg
 
Mkuu EVIGT nikichimba kisima shambani(borehole) nitaweza kupata pump ya "borehole lineshaft pump water pump" inayoendeshwa kwa diesel iwe Kama inch 4 itakayoweza kumwagilia mpunga kwenye ekari 15.

Niliona picha ya pump mtandaoni(mfano wake) japo sio inch 4,je hapa Tanzania zinapatikana ikiwemo kwa kuagiza?

Nina attach picha hapa uione pump yenyewe.

Majibu tafadhali,Asante.View attachment 2437262
yonga kisima kinachimbika ila hiyo deep lineshaft labda uangize njee au uwacheki jamaa wanaitwa Reni International,
 
Hiyo pump kwa uzoefu wako inaweza kufanya kazi ninayoitaka?Je pia Kama hizo za umeme pia zipo?
 
yonga kisima kinachimbika ila hiyo deep lineshaft labda uangize njee au uwacheki jamaa wanaitwa Reni International,
Kuchimba kisima mkoa wa morogoro ni sh ngapi kwa mita,umbali kutoka morogoro mjini mpaka site ni takribani kilometer 60
 
Nahitaji kipimo Cha kupimia sehemu zenye mikondo ya maji kabla hapajachimbwa Kisima
 
Inch 4.5 kwa sehemu chini y mita 90
Sawa nikitaka kufunga pump ya umwagiliaji hapo natakiwa kufunga pump gani itakayoweza kumudu shamba lote la ekari 15 Kama hizo line shaft hakuna hapa bongo.

Unaweza nitumia picha za pump za visima virefu za hapa bongo iwe umeme au diesel maana nimeambiwa zile za kawaida za kuvuta maji mtoni haziwezi hiyo kazi ya kuvuta maji vertically na zile ndefu za majumbani nazo ni ndogo na hapa sitatumia storage tank Ina maana maji yakitoka kwenye pump Yana sambaa shambani moja kwa moja.

Naomba ushauri wako hapa kuhusu pump kabla ya kuanza kuchimba kisima
 
Unapo mjibu jibia kabisa kwa ekari 20.Mi nipo kwenye maandalizi.
 
Sawa nikitaka kufunga pump ya umwagiliaji hapo natakiwa kufunga pump gani itakayoweza kumudu shamba lote la ekari 15 Kama hizo line shaft hakuna hapa bongo.

Unaweza nitumia picha za pump za visima virefu za hapa bongo iwe umeme au diesel maana nimeambiwa zile za kawaida za kuvuta maji mtoni haziwezi hiyo kazi ya kuvuta maji vertically na zile ndefu za majumbani nazo ni ndogo na hapa sitatumia storage tank Ina maana maji yakitoka kwenye pump Yana sambaa shambani moja kwa moja.

Naomba ushauri wako hapa kuhusu pump kabla ya kuanza kuchimba kisima
yonga KING KIGODA kwa watu wenye mashamba makubwa na wanamwagilia kwa kisima kirefu mi vizuri ukishachimba kisima chako unafunga pump za kudumbukia ( deep Submersible pump) kisha unaweka point za kukusanyia maji,hizi point ni mabwawa unachimba kila baada ya hekari kadhaa, kutoka kwenye haya mabwawa ndio unafunga surface pump ambazo ndo zitamwagilia maeneo jirani ya kila bwawa na pia hii surface pump unaweza ukafunga na sprinkler kadhaa, hii ni project kubwa, kama unaweza tuje na team yangu kufanya preliminary survey kisha tutaweza kupata budjet ya kuweka hiyo miundombinu ya maji kwa shamba lote.
 
Back
Top Bottom