Solar water pumps zinapatikana sasa kwa malipo kidogo kidogo.
Solar water pumps zetu zinafaa kwa matumizi ya aina mbalimbali, zipo za kisima, mabwawa, mito, maziwa, n.k Pia solar water pump hizi zinauwezo Wa kuswich na kutumia umeme wa AC.
Utaratibu wa kupata pampu kwa malipo kidogo kidogo[emoji116]
[emoji117]Wasiliana nasi kisha tutakuja site kufanya tathimini ya mahitaji.
[emoji117]Tutakupa mchanganuo wa gharama.
[emoji117] Utafanya malipo ya awali.
[emoji117]Tutakufungia pump na mfumo wote wa solar.
[emoji117]endelea kufurahia huduma kwa malipo kidogo kila mwezi unaofuata.
Call/whatsap +255 699 494650
Kwa mkoa wa arusha unaweza kwenda ofisi ya Njiro viwanja vya 88.
Mikoa mingine tunafika pia.
View attachment 2455278View attachment 2455279