Tunaelekea kufunga ndoa, lakini sina hisia naye tena za kimapenzi

Binadamu tuna asili ya kukinai (kuzoea na kuona kawaida). Hata ukimuacha huyo ukatafuta mwingine mkafunga ndo naye pia utafika wakati utamkinai na kumuona wa kawaida kisaikolojia nadhani hiutwa sensory adaptation.

Nadhani angalia namna gani uondokane na hiyo shida ya kukinai, ila kumbuka ndoa ni zaidi ya sex ingawa huanzia hapo.
 
UPENDO ni kama moto.
Ukiuchochea utawaka tu.
 
Pole bidada, sijui ni kwanini umchoka kipindi kama hiki. Ni bora umuache tu aendelee na maisha yake. Kulikoa kuingia ndoani wakati humpendi.
Ama laah fuata ushauri wa Karucee hapo juu
Nadhani wengi wenu hamko kwenye ndoa ndo maana mnashauri hivyo.

Kuchokana kupo hata kwenye ndoa hiyo ndo asili ya binadamu.

Hata akipata mwingine mwenye hisia naye itafika muda zitaisha tu.
 
mkuu kuna muda mambo haya hutokea with no reason, utakuta mwenza anafanya kila kitu ajili yako bt hata hisia nae unakua huna...

kuna wakati wife nilikuaga namuona kama kibwengo bt baada ya kuanza kumshirikisha mungu changamoto hii ilitoweka kabisa
 
shetani yupo mawindoni kuharibu future yenu, kama hukua mtu wa kusali jitahidi kusali changamoto yako itakwisha
Shetani anawawinda nini wakati ameshawapata! Wazinifu shetani awatafute!?

Hapo ni wameshokana tayari.. Ukitaka kuprove cheza game na timu nyingine alafu cheki kama situation ni ile ile jua wewe ndio unatatizo.. na kama ndivyo yaweza ikawa hormone zako azijakaa sawa
 
Habari yako Bibie,pole
 
Daah shule hizi nimeelewa tu paragrafu ya mwisho na sentensi ya mwisho ni hapo kayumba yangu imetumika.
 
Nafsi ndio dira ya uelekeo wa mwili....kinachoenda kinyume na matakwa ya nafsi kinapoteza maana nzima ya kiutendaji na mapokeo ya mwili.......kama hili tatizo halikuwapo kabla na unampenda.......kaa chini zungumza na nafsi yako kwa utulivu.....baada ya muda utapata jawabu......unaweza ukaendelea kupuuza kwa kuutumia mwili lakini kamwe huwezi kushindana kushindana na utashi wa nafsi yako.......vita hiyo matokeo yake ni mateso ya mwili au sononeko la nafsi...........SEMA NA NAFSI YAKO..........
 
Sio kweli Mkuu.

It's the exact opposite.

Sisi wanawake fight for our marriages long after you guys have given us enough reasons not to.

Why? Because by then we are mother's already and we focus more on our kids.

Sasa kero zenu ndo zinatufanyaga tuna lose attraction kwenu and some women end up denying you sex. Kiukweli kwetu sisi wanawake sex ni kitendo emotional. Huwezi nitibua afu unipande pande tu ovyo nitakuwa nimehisi umenidharau.
 
Ndio maana mara nyingi tunashauriwa tufunge ndoa mapema ili by the time tunaanza kukinaiana tuwe tayari tuna pingu hakuna pa kukimbilia!
 
Damn!!!! five fuc...in years + full time sex n stuff!! Hapo ni kama tayari mlikuwa unofficial mume na mke...

Kama una nia ya kuoa au kuolewa na mtu, muda wa mahusiano usizidi miaka 2, ikizidi sana tena sana iwe miaka 3...
 
Sasa kero zenu ndo zinatufanyaga tuna lose attraction kwenu and some women end up denying you sex. Kiukweli kwetu sisi wanawake sex ni kitendo emotional. Huwezi nitibua afu unipande pande tu ovyo nitakuwa nimehisi umenidharau.

Sasa kwani sie ni malaika jamani tusiwakere? Mbona nyie mnatukera kwa mengi na bado tunasimamisha vizuri tu? Nyie wanawake bana mnakuaga excited mwanzoni tu, after sometime (especially mkishaolewa) mnahamisha mawazo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…