Tunaelekea kufunga ndoa, lakini sina hisia naye tena za kimapenzi

Yani weeee bila ile kitu hakiiii na kila mtu aende zake tu.

Sijui kama maana nyingine, well ndoa sio sex peke yake, ila ndoa isiyo na sex ipite hivi.
Anaedai ndoa sio sex atakuwa ana matatizo ya kimfumo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…!!! Sex is a basic need!
 
Anaedai ndoa sio sex atakuwa ana matatizo ya kimfumo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…!!! Sex is a basic need!
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Asituzingue uongo?
 
Akufwee na azikwe zake πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Habari.

Mimi na mpenzi wangu tumekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitano kama boyfriend na girlfriend (sio uchumba).


Umeshaonja kwingine ukakolezwa zaidi, hapo achana naye tu hakuna namna maana utateseka maisha yako yote
 
I am worried that there is mchepuko around the corner. It’s not easy especially for a woman to say so without a very valid reason.
Hakuna wala 5 years sex only hai hata sex toy itachanika πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
mkuu kuna muda mambo haya hutokea with no reason, utakuta mwenza anafanya kila kitu ajili yako bt hata hisia nae unakua huna...

kuna wakati wife nilikuaga namuona kama kibwengo bt baada ya kuanza kumshirikisha mungu changamoto hii ilitoweka kabisa
Eti kibwengo, dhambi hizi jaman lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuuuh nimeishiwa hadi cha kushauri kwa kweli. But nwei mlitatue tatizo hili mapema kabla hamjawa kifungoni.
 
Nilimuoa tukazaa nae mtoto akanikinai akaniacha akaenda aendako nae wakamkinai Kwa gia ya kumuona mwanae akarejea kwangu NAMFANYA FU*K MATE TU MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI.
 
Sasa na huyo baada ya muda si atamchoka, na ataruhusiwa kuhamia kwa mwingine tena?

Mi nadhani wapenzi mnatakiwa kuwa na vitu vingi in common, kiasi kwamba moja likikinai mnakuwa na lingine lakufanya. Mara nyingi mnatakiwa kuwa marafiki, na ili muwe marafiki hamtakiwi kupishana sana umri.
 
Muangaliaji porn utamjua tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Haha iko hivi porn sipend ila siku moja mtoto wa sister angu aliniomba aangalie movies kwenye laptop yangu hizi movie nilichukua folder zima kwa a friend sasa kuna moja ilikuwa imekaa kama movie ivi kwa jina, when i clicked on that name, ! Damn there comes graphical content nikaifuta ile kitu ila i saw that name when its was starting, porn is not my thing mimi nataka niwe nakula mzigo mwenyewe ndio naenjoy
 
Ahaa basi sawa
 
Bila picha ya .... Ntashindwa kushauri
 
Upungufu wa nguvu za kike[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1483]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…