Peaneni nafasi, have time for yourself and explore your body, may be it has something to do with your mind, unahitaji kuwaza mambo mengine rather than the existing problem, badilisha hata mazingira ikiwezekana na aina ya mind refreshing activities mazoezi kidogo ya kufanya mwili uwe active, jipe miezi kadhaa bila kuwasiliana au kuwa nae karibu, itakusaidia kujua kama kweli unampenda or if you real need him as a husband, itakusaidia kujua pia hisia zako zipoje kwake then you can make a right choice kabla ya kuingia ndoani
Ila.mimi nahisi you are stressed au kuna jambo linakusumbua kiasi kwamba your body is not respinding, kumbuka kwamba suala la sex linaanzia kwenye mindset yako
Kama mindset yako haipo tayari basi mwili hauwezi kurespond