Tunaelekea kufunga ndoa, lakini sina hisia naye tena za kimapenzi

Tunaelekea kufunga ndoa, lakini sina hisia naye tena za kimapenzi

Watu wengi sana hua wanadhani wanaume ndio tunaanza kuwakinai wapenzi wetu. Ukweli ni kwamba, wanawake hua wanaanza kukinai mapema sana!

Mwanamke mpe maximum miaka miwili baada ya hapo ni business as usual lazima mtaanza ku struggle. Na mara nyingi kama mwanamke umeshamuoa au unaishi nae, hapo ndio visingizio vya kichwa kuuma, mgongo, stress, periods ku extend kwa wiki mbili nk.

Kwa kifupi mleta mada ameshamchoka jamaa. Mi nashauri kama ana mchepuko amuache huyo mchumba ahamie kwa mchepuko ndio uwe main road.
This is absolutely true, mimi tukidate zaidi ya mwaka usifikirie ndoa aisee mana nakua nshakuchoka kitambo tu. Kaz kwenu wanaume mnaopenda mahusiano ka medical school
 
Do what is the best for the situation... Otherwise utaumia for the rest of ur remaining life....
Just imagine, kuwa unajilazimisha hivyo kila siku
Au imagine, familia ambayo watu ili mkwichi hadi muwashe brazzers...
Chukua hatua

Et brazzers [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah hao brazzers hatari
 
Hili tatizo la watu kupoteza hisia kwenye mahusiano kabla ya ndoa limekuwa sugu sasa.Kawaida courtship haitakiwi kuzidi mwaka na niseme ugf/bf mwaka so within one/two years mnatakiwa mumeshafunga ndoa.

Apart from that said ni vyema ukimshirikisha Mungu katika hili sali sana na omba mungu akupe ufunuo kama huyo ni mume sahihi kwako.

Pia ni muhimu kufahamu mapenzi usipoyapalilia yanakufa.Keti chini ufikiri kipi ambacho ulikuwa unakifanya mwanzo hukifanyi sasa,kuna mabadiliko kwenye mfumo wenu wa mahusiano?Je una msongo wa mawazo ambao unapelekea wewe kupoteza hisia?

Zile fantasy zako bring them to reality,jaribu kufanya vitu vipya na tofauti,sirecommend hizo muvi za wakubwa unaweza hata kuondoka na mapepo machafu kwa kuangalia hizo na hao watu wapo kazini hawainvolve emotions kwenye love making....But do romantic things that will make you relax your body and soul.

Remind yourself of what made you fall for him.Five years is very long time to go to waste my dear imagine starting all over now?
 
Kama ni mimi nimepata bwana mwingine nisingeanzisha uzi wa namna hii

Naamini hata mleta uzi hawezi kuandika uzi ambao source ya tatizo lake analijua
Una akili sana big up.
 
Habari.

Mimi na mpenzi wangu tumekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitano kama boyfriend na girlfriend (sio uchumba).

Nikiri kwamba tumekuwa na kutokuelewana kama ilivyo kawaida ya mahusiano lakini tupo vizuri kuhakikisha tatizo lolote linatatuliwa kwa wakati na kuhakikisha mawasiliano hayapotei. Pia tumekuwa na nyakati za furaha.

Kuna kitu kinaitwa sotocahah kinakusumbua, kuhakikisha hilo tatizo linakata unatakiwa ufanye mapenzi na mimi ili kuzibua mirija ya hisia zilizozibwa, embu nitafute ukomboke
 
This is absolutely true, mimi tukidate zaidi ya mwaka usifikirie ndoa aisee mana nakua nshakuchoka kitambo tu. Kaz kwenu wanaume mnaopenda mahusiano ka medical school
We unadhani walioleta ndoa walikurupuka? Walijua kabisa hawa watu wakikaa hivi hivi tu baada ya muda si mrefu watachokana na wataachana! Sasa mfano ikitokea tayari wana mtoto na wao wamechokana huyo mtoto atalelewaje? Ndio concept ya ndoa ikaibuliwa kwamba dawa ni kuwapiga PINGU ZA MAISHA! Nyie mchokane msichokane mtajua wenyewe lakini tayari mmeshapigwa PINGU hakuna kukimbiana.
 
Watu wengi sana hua wanadhani wanaume ndio tunaanza kuwakinai wapenzi wetu. Ukweli ni kwamba, wanawake hua wanaanza kukinai mapema sana!

Mwanamke mpe maximum miaka miwili baada ya hapo ni business as usual lazima mtaanza ku struggle. Na mara nyingi kama mwanamke umeshamuoa au unaishi nae, hapo ndio visingizio vya kichwa kuuma, mgongo, stress, periods ku extend kwa wiki mbili nk.

Kwa kifupi mleta mada ameshamchoka jamaa. Mi nashauri kama ana mchepuko amuache huyo mchumba ahamie kwa mchepuko ndio uwe main road.
Umemaliza mkuu thats the final point
 
We unadhani walioleta ndoa walikurupuka? Walijua kabisa hawa watu wakikaa hivi hivi tu baada ya muda si mrefu watachokana na wataachana! Sasa mfano ikitokea tayari wana mtoto na wao wamechokana huyo mtoto atalelewaje? Ndio concept ya ndoa ikaibuliwa kwamba dawa ni kuwapiga PINGU ZA MAISHA! Nyie mchokane msichokane mtajua wenyewe lakini tayari mmeshapigwa PINGU hakuna kukimbiana.
Na ndoa itakupa akili ya kufufua penzi mana huna la kufanya yani
 
Kuna kitu kinaitwa sotocahah kinakusumbua, kuhakikisha hilo tatizo linakata unatakiwa ufanye mapenzi na mimi ili kuzibua mirija ya hisia zilizozibwa, embu nitafute ukomboke
Mtaalam kama mtaalam
 
Ila shetani ana visa sana, utakuta huko anakosema anapendwa ndio kwanza hapendwi. Maisha ni kuvumiliana tu.
 
Na ndoa itakupa akili ya kufufua penzi mana huna la kufanya yani
Penzi litafufuka tu lipende lisipende maana hamna namna. Wenzetu Waislamu wao walitumia akili ya ziada ku deal na hili tatizo na ninawasifu kwa hilo.
 
Huyu nina hakika ana jini mahaba, hili dude huwa lina attack sana wanandoa na wapenzi wanaoishi under one roof bila wao kujua ndio hujikuta nyumba imesambaratika mipango ya ndoa imekufa au ndani ya ndoa panawaka moto hamna amani ni stress tu!

Early signals ndio huwa hivyo.
Kwa KE
-Ghafla hamu ya mpenzi wako kupotea.
-Hisia juu yake kufa kabisa hata kama hana tatizo.
-Ndoto za ajabu kama vile mtu unamuona umelala naye ambaye humjui.
-Ukisex nae unapata maumivu makali hivyo sex nae unakwepa kwepa always.
-Akiwa mbali unam miss ila akiingia ndani tu mjengoni unageuka mbogo, ugomvi na makelele mtindo mmoja.

Kwa Men:
-Kuhisi mke ni kero tu bila sababu.
-Kupoteza nguvu za kiume ghafla,kuna muda una hamu ila ukitaka kumuingilia wife mboo inanywea ghafla bila sababu au inasinyaa baada ya kuchomeka tu!
-Kupoteza nguvu za kiuchumi, mabalaa na mikosi kukuandama ili tu uharibikiwe maisha usiendelee kufurahia uhusiano huo.
-Kuhisi hali flani ya msisimko wa mwili kila uingiapo ndani kwako aidha sebleni au chumbani, hii huashiria mdudu mnaishi nae ndani na hapo ndipo unapopishana nae.
-Hii hali ya kusisimuka pia hujitokeza hata ukienda sehemu yoyote inayofanyika maombi makali ya kidini au hata mkisali na mkeo home! Huashiria mdudu ameshakuvaa.
Pengine maskini!!
Atafute msaafa sasa kabla hawajafunga ndoa.

Mana ndoa bila kupelekewa moto bora tu utukanwe kitaani
 
Pengine maskini!!
Atafute msaafa sasa kabla hawajafunga ndoa.

Mana ndoa bila kupelekewa moto bora tu utukanwe kitaani
Hahahahah wengine wanaona safi tu ila kwa mjuba lazma nimbato 1 tym before job hours!
 
When reality kicks in ndio balaa huanzia hapo
We bwaaaana weeewe.

Unaweza kuokota makopo barabarani.

But, me napenda reality checks sana.
Navurugwa nayo hasa.
Ila baada ya huo muda najiona kabisa ambavyo Sisi yule yule kabla ya kuruhusu initikise.

Sipendi gray zone aseeh.
Yani nyeusi na iwe nyeusi na iwe.
Niwe na amani.
Mambo ya sintofahamu ,comic comca.

Hapana, no.
 
Hahahaha hapo ndo utajua hujui 😅😅😅
 
Hahahahah wengine wanaona safi tu ila kwa mjuba lazma nimbato 1 tym before job hours!
Yani weeee bila ile kitu hakiiii na kila mtu aende zake tu.

Sijui kama maana nyingine, well ndoa sio sex peke yake, ila ndoa isiyo na sex ipite hivi.
 
Back
Top Bottom