Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Sijawahi kuachwa bila sababumkuu hujawahi acha/achwa na umpendae bila sababu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kuachwa bila sababumkuu hujawahi acha/achwa na umpendae bila sababu?
If I had a burden to unload then I wouldn't impose it on my partner.You are logically right, on the other hand, she has an emotional buggage and somebody has to unpack, infact they should both workout to fix, it should be taken as her problem only....
So much as they are partners, chances are, he will be a victim of circumstances even if he never caused, I mean he will be affected...If I had a burden to unload then I wouldn't impose it on my partner.
It would be too hefty on him. Unless he caused it.
Swala la kawaida bro,ndoa ni zaidi ya hisia za mapenzi,kwenye ndoa baada ya Muda mrefu kukaa pamoja,Hari ya kuonana wa kawaida na hisia kupungua huwa ya kawaida,la msingi ni kwamba na la kujiuliza huyo bi dada,unaweza kuishi nae?mapungufu yake unaweza kuyavumilia?maana hauoi maraika!Habari.
Mimi na mpenzi wangu tumekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitano kama boyfriend na girlfriend (sio uchumba).
Nikiri kwamba tumekuwa na kutokuelewana kama ilivyo kawaida ya mahusiano lakini tupo vizuri kuhakikisha tatizo lolote linatatuliwa kwa wakati na kuhakikisha mawasiliano hayapotei. Pia tumekuwa na nyakati za furaha.
Tatizo lililopo ni kwamba nimepoteza kabisa hisia za kimapenzi kwa huyu mpenzi wangu ambaye tunategemea kupiga hatua mpya ya mahusiano yetu kuelekea kwenye ndoa.
Nikiwa nae sihisi chochote kabisa, ni kama nipo na mtu ambaye ni jinsia yangu, akinigusa sihisi chochote tena hata kwenye suala zima la sex imefika wakati hadi tutumie lubricants au wakati mwingine tuangalie video za wakubwa to get wet (hii aliipendekeza yeye nilikuwa siangalii kabla ya tatizo). Hili tatizo halikuwa mwanzoni, limetokea miezi kadhaa sasa.
Napata wakati mgumu sana ukizingatia tunaelekea kuwa mwili mmoja. Nimejaribu njia mbalimbali za kutatua hili tatizo ikiwa ni pamoja na kushirikisha wataalamu lakini tatizo bado lipo.
Pia nimemshirikisha yeye ila yeye anahisi nitakuwa na tatizo la uke kuwa mkavu, kitu ambacho nina uhakika sina.
Wanajukwaa naombeni ushauri wenu juu ya kutatua tatizo hili.
Hii hali ni mbaya sana yani, kuna connection ya kumchoka mpenzi na jini mahaba lakini! Ilibidi nikatafute ufumbuzi wa hili tatizo kwa njia za kiroho. Ilisaidia kwa namna flani maana hali ilikuwa teteWatu wengi sana hua wanadhani wanaume ndio tunaanza kuwakinai wapenzi wetu. Ukweli ni kwamba, wanawake hua wanaanza kukinai mapema sana!
Mwanamke mpe maximum miaka miwili baada ya hapo ni business as usual lazima mtaanza ku struggle. Na mara nyingi kama mwanamke umeshamuoa au unaishi nae, hapo ndio visingizio vya kichwa kuuma, mgongo, stress, periods ku extend kwa wiki mbili nk.
Kwa kifupi mleta mada ameshamchoka jamaa. Mi nashauri kama ana mchepuko amuache huyo mchumba ahamie kwa mchepuko ndio uwe main road.
When reality kicks in ndio balaa huanzia hapoMapenzi HUISHA.
Yani ni vile tu tunaamini kwa kuwa tupo muda mrefu basi we must marry.
Mapenzi HUISHA, na HUISHA hasa.
Mtendee hugo kaka haki, usiendelee na hiyo hatua anayofikiri mko wote sawa.
Shida ni kuwa HATUJAKUZWA NA KUFUNDISHWA KUPOKEA REJECTIONS KWENYE MAJUSIANO..
Hapo itakuwa beef, kulia ,kutukanwa, kusemwa umalaya, vurugu, nyumbani nako wasikuelewe kwanini unakataa ndoa.
Basi mradi tafrani.
Mungu awatetee wote wawili.
Its true ila dah wanawake hawanaga hili na hapo ndio roho wa kuchepuka huanziaThere will be such times when you look at your partner and wonder, wawapi huyu?
Then you remember what a loving person they used to be. How they loved you with all of their hearts and it was at such a moment that you decided they would be your partner for life.
The idea of getting married and dedicating your life to one partner can give you cold feet Sheila. It can freak you out and the effects can be physical or psychological or both.
You therefore have to look beyond today, beyond next year and beyond the next five years. Does he have the qualities that will make him a great Dad? You have to put yourself aside and think of the little family that you will create.
Good men are hard to come by. When you find one cling to them with all that you have.
Mengine utasolve tu kwa kubadilisha diet, kuongeza kungumanga kwenye diet etc. Huenda upo affected na mipango ya harusi ndo maana hata kulainika ni issue, huenda ni hormones, huenda Baby wako alikukera sasa badala uongee unabaki nalo moyoni na kumuona hafai.
Do not let go of that man young lady.
Nakubali mkuu hii kitu maranyingi husababishwa na negative energies. Ni shetani anawapitisha katika mtego wake mkinasa tu mmevunja familia! Ni muhimu sana kumshirikisha mungu katika hii changamoto!mkuu kuna muda mambo haya hutokea with no reason, utakuta mwenza anafanya kila kitu ajili yako bt hata hisia nae unakua huna...
kuna wakati wife nilikuaga namuona kama kibwengo bt baada ya kuanza kumshirikisha mungu changamoto hii ilitoweka kabisa
Watu wanaoana after 10 yrs! Upendo wa ukweli haufagi labda mmoja atupiwe kijiniDamn!!!! five fuc...in years + full time sex n stuff!! Hapo ni kama tayari mlikuwa unofficial mume na mke...
Kama una nia ya kuoa au kuolewa na mtu, muda wa mahusiano usizidi miaka 2, ikizidi sana tena sana iwe miaka 3...
Kero zipi jamani? Mwanamke tabia ya kumu ignore mume kwenye ndoa ni common na ndio anaanzaga ila mume akirespond kwa kumu ignore pia ndio huonekana mbayaSio kweli Mkuu.
It's the exact opposite.
Sisi wanawake fight for our marriages long after you guys have given us enough reasons not to.
Why? Because by then we are mother's already and we focus more on our kids.
Sasa kero zenu ndo zinatufanyaga tuna lose attraction kwenu and some women end up denying you sex. Kiukweli kwetu sisi wanawake sex ni kitendo emotional. Huwezi nitibua afu unipande pande tu ovyo nitakuwa nimehisi umenidharau.
Naunga mkono hoja! Hii kama huyu mtoa hana mchepuko basi hili huwa ndio sababuLazima hili litakua tatizo la kiroho, tazama kwa jicho hilo.
Pia kuna Janga hili.
Mawigi/nywele bandia.
Mafuta au lotion Za kisasa..
Ni chanzo kikubwa shetani hutumia kuharbu ndoa za watu kwa kuwafanya wanawake kupoteza joto na hali asili ya uke.
Mafuta paka Coconut Oil tu.
Huyu nina hakika ana jini mahaba, hili dude huwa lina attack sana wanandoa na wapenzi wanaoishi under one roof bila wao kujua ndio hujikuta nyumba imesambaratika mipango ya ndoa imekufa au ndani ya ndoa panawaka moto hamna amani ni stress tu!Mapenzi HUISHA.
Yani ni vile tu tunaamini kwa kuwa tupo muda mrefu basi we must marry.
Mapenzi HUISHA, na HUISHA hasa.
Mtendee hugo kaka haki, usiendelee na hiyo hatua anayofikiri mko wote sawa.
Shida ni kuwa HATUJAKUZWA NA KUFUNDISHWA KUPOKEA REJECTIONS KWENYE MAJUSIANO..
Hapo itakuwa beef, kulia ,kutukanwa, kusemwa umalaya, vurugu, nyumbani nako wasikuelewe kwanini unakataa ndoa.
Basi mradi tafrani.
Mungu awatetee wote wawili.
Kama ni hivyo, ndoa imevunjika hata kabla ya kufungwa mwanangu. Ni bora kuwa mkweli kuliko mnafiki na muongo.Habari.
Mimi na mpenzi wangu tumekuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitano kama boyfriend na girlfriend (sio uchumba).
Nikiri kwamba tumekuwa na kutokuelewana kama ilivyo kawaida ya mahusiano lakini tupo vizuri kuhakikisha tatizo lolote linatatuliwa kwa wakati na kuhakikisha mawasiliano hayapotei. Pia tumekuwa na nyakati za furaha.
Tatizo lililopo ni kwamba nimepoteza kabisa hisia za kimapenzi kwa huyu mpenzi wangu ambaye tunategemea kupiga hatua mpya ya mahusiano yetu kuelekea kwenye ndoa.
Nikiwa nae sihisi chochote kabisa, ni kama nipo na mtu ambaye ni jinsia yangu, akinigusa sihisi chochote tena hata kwenye suala zima la sex imefika wakati hadi tutumie lubricants au wakati mwingine tuangalie video za wakubwa to get wet (hii aliipendekeza yeye nilikuwa siangalii kabla ya tatizo). Hili tatizo halikuwa mwanzoni, limetokea miezi kadhaa sasa.
Napata wakati mgumu sana ukizingatia tunaelekea kuwa mwili mmoja. Nimejaribu njia mbalimbali za kutatua hili tatizo ikiwa ni pamoja na kushirikisha wataalamu lakini tatizo bado lipo.
Pia nimemshirikisha yeye ila yeye anahisi nitakuwa na tatizo la uke kuwa mkavu, kitu ambacho nina uhakika sina.
Wanajukwaa naombeni ushauri wenu juu ya kutatua tatizo hili.
Harakati zako za kwenda Canada, ziliishia wapi?Yap Yap mzeiya niambie ..niajee apo...
Wanachohitaji hapa ni muda. kukaa mbali kwa muda. ili kuamsha ile tension.Do what is the best for the situation... Otherwise utaumia for the rest of ur remaining life....
Just imagine, kuwa unajilazimisha hivyo kila siku
Au imagine, familia ambayo watu ili mkwichi hadi muwashe brazzers...
Chukua hatua