Tunaelekea wapi kwa hili ongezeko la Wasagaji?

Naona kikubwa ulikua unaitambulisha club iliyoko buguruni na huduma wanazotoa na aina ya wateja wake.
hongera
 
nawaunga mkono huwezi kukataza watu kuwa malaya na wasagaji ni matokeo ya malezi mabaya na kushindwa kutumia akili.

Ndio maana kuna nchi wamehalalisha bangi kama una vuta vuta kama huvuti usivute akili kumkichwa
Akipendacho mtu chake
 
Taifa tunaelekea kama ambavyo wewe umewaona ukaendelea kukaa nao na kuburudika kwa kudance bila kuona ajabu sasa sijui kwanini baada ya kuburudika umekuja kuanzisha thread.
Ingelikuwa mimi ningeondoka eneo hilo
 
Hizo takwimu sijui kama ni kweli
 
ukiona wasagaji wanaongezeka ujue wamejikatia tamaa kulingana na kutowahi kutongozwa maisha,

me wengi washaoa wametulia na wake zao, idadi ya ke inaongezeka kila kukicha, wako pekeao mshawasho nao unawazidi wa kuwatuliza hakuna. Maji yamewafika shingoni wanajisevia wenyewe.
 
ulifata nini humo dume zima katikati ya wanawake?
 
Huku Mashoga huku Wasagaji Tanzania motomoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…