Tunaelewa kwanini Mwigulu ana hasira na Magufuli hadi leo, na hadi sasa anatoa kauli hasi dhidi yake, na kumwaga maua kwa wingi!

Mwigulu huyu huyu aliyeiba pesa akiwa wazir wa, Mambo ya ndani na kuanzisha Singida United. Na alipofukuzwa, uwaziri timu ikafa. Huyu huyu mwenye timu nyingi huku pesa ikitoka serikalini.
Huyo huyo anaesemekana kununua mabasi 50 kwa mkupuo!
 
We ungezungumzia hbr za baba wa Taifa. Mtu mshamba, muuaji aliyetuharibia nchi yetu ndani ya miaka 5 unatukumbushia wa nini. Lile lilikuwa shetani lisilo na fadhila
 
We bwege nenda kaanike dagaa Chato International Airport.
 
Mkuu naona bado ujawasoma wasomi uchwara wa kitanzania, hata huyu atapita na watu watamsema vibaya ni suala la muda tu.

Wasi wasi wangu hii tabia ya uchawa imeshaota mizizi hakuna anayeweza kusema ukweli kulikomboa pindi nchi inaenda mrama.

Wasomi, vijana na wazee watu wakufuata fursa tu, nionyeshe mzee gani leo anaweza kukemea mabaya, warioba, Jk au Cleopa?
 
Kama mwigulu ni zao la timu ya chama inarecruit young leaders kusaidia chama chao, basi wao ni hovyo zaidi kuliko huyu walirecruit..including you! huhitaji saa nzima kukaa na mwigulu ukabaini kutokufaa kwake kuwa kiongozi, facial, expression, body language, gesture/attitude hivi ni zao la malezi alikokulia, elimu peke yake haiwezi kuaddress mapungufu yenye nature ya aina hii..
 
Unadhani huko CCM wana recruit kirahisi hivyo. Tafuta transcript zake toka elimu yake ya awali ujue CCM inalea watu wa aina gani.

Sio kila mtu anafika ngazi ya uwaziri kwa bahati, Mwigulu ni mtoto wa serikali na chama sio mzaha żaha ivyo au ukadhani kaibuka tu kama Shabiby.

Sitaki kusema mengi (mie mwenyewe nimetafutwa 15 years ago sina tu huo muda).

👋
 
Unaelewa nilichoandika na wewe umejibu nini..kwa hiyo hao wa serikali waliomtafuta hawawezi kuwa hovyo zaidi yake? transcript za nini? hivi transcript na tabia kipi ni cha kwanza..unapoteza muda na fedha za watu kuandaa mtu wa aina hii, wewe mwenyewe una akili kweli? au kichwa ni kopo tu..Kama walishindwa kuona tabia tatanishi na hasi alizo nazo huoni kwamba wao ndio wenye tatizo..mwalimu anakuletea mwanafunzi mbovu akikuaminisha kuwa huyu ni kipanga ukigundua mwanafunzi uliyeletewa ni kilaza..tatizo ni mwalimu aliyemleta au mwanafunzi mwenyewe?
 
Unadhani huko CCM wana recruit kirahisi hivyo. Tafuta transcript zake toka elimu yake ya awali ujue CCM inalea watu wa aina gani.

👋
Kama unatuambia transcripts ndio zina determine viongozi wazuri CCM, Raisi Samia tumweke wapi? Kwamba nae ana first class degree ya vitu gani sijui?

Makonda je? Ndio kipanga wa CCM?

Na kama theory zako ni kweli basi CCM wamepotoka sana. Hatujawahi kusikia kina Isaac Newton, Albert Einstein nk ndio waliokuwa maraisi
 
Huyu magulu amzidi umaarufu magufuri yaani magulu aondoe kabisa wazo la kugombea urais tanganyika
 
Yaani hapo uliposema tu Mwiguli anashine kuliko Rais Magufuli nikakuona umepoteza dira

Alikuwa anashine kivipi?? Bora hata ungesema Membe ungemake sense kidogo
 
Umaskini mbaya sana. Unakufanya uwe mnafiki hata kama umeelimika
 
Umeongea ukweli mkuu. Waziri wa fedha ni cheo kikubwa sana. Ila huyu toka apewe hiki cheo ni mwendo wa kuzurura tu na kumpamba mama. Hajawahi kuleta jipya na wala tusitarajie cha maana kutoka kwake. Hopeless
 
Umeongea ukweli mkuu. Waziri wa fedha ni cheo kikubwa sana. Ila huyu toka apewe hiki cheo ni mwendo wa kuzurura tu na kumpamba mama. Hajawahi kuleta jipya na wala tusitarajie cha maana kutoka kwake. Hopeless
Kila kitu mamaa, mama.. mara mama yetu mama yetu..ndio ameona maneno ya kulinda uwaziri..kila akionekana kwenye media ana taarifa ya nchi kukopa hilo ndilo anaweza..sifuri kabisa!
 
Yaani hapo uliposema tu Mwiguli anashine kuliko Rais Magufuli nikakuona umepoteza dira

Alikuwa anashine kivipi?? Bora hata ungesema Membe ungemake sense kidogo
Hahaha! Ndio maana Faiza Foxy anasema mlisoma shule za wapi?

Mie nimesema "Magufuli hakutaka kabisa Mwigulu apate mwanya wa kuonekana ni kiongozi maarufu - ku shine"

Sijasema hata sehemu moja Mwigulu anashine au alishine kuliko Magufuli. Hapo umechapia Mkuu.
 
Umaskini mbaya sana. Unakufanya uwe mnafiki hata kama umeelimika
Nadhani ni tabia tu ya mtu, na labda kupenda madaraka. Huyu bwana si wa aina ya kufanya haya kwa ajili ya umasikini alionao
 
Either Synthesizer ndiye aliyetajwa humu au ndiye Mchungaji wa pale Kijitonyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…