Tunaenda kumaliza kazi Misri, Al Ahly ni wa kawaida mno

Tunaenda kumaliza kazi Misri, Al Ahly ni wa kawaida mno

Kazi inaenda kumalizika Misri, Tukitumia mapungufu waliyoonyesha Al Ahly hapa kwa Mkapa tunatoboa

Kama mlivyowaona Al Ahly sio wa kutisha kihivyo, tunawaweza
Wakati unawaza hivyo, jaribu kutathmini ni lini Al Ahly alipata sare Dar es salaam? Huenda wao wakakuona wewe ndio wakawaida sana tena kakukosa mengi mno ukiwa kwako.
 
Ukicheza ugenini ni lazima heshima iwepo, haya matokeo ni advantage kubwa kwa al ahly aliyekuwa ugenini.
 
Mchezo umeutazama kishabiki au hujui mpira? Kocha wa Ahly kuanza na akina El Shahat nje kulikuwa na maana ya kucheza kwa tahadhari zaidi, na baada ya mambo kubadilika ndipo wakaingiza wazee wa kazi sote tumeona mambo yalivyobadilika.

Ahly sio wepesi, sio kwa Simba wala kwetu Yanga. Ni timu inayokwenda kwa mipango na wanabaki ktk mipango. Huwezi kuona kila mmoja anajaribu bahati kama Zimbwe Jr. Onana, Inonga na wengine waliokuwa wanajaribu kupiga hovyo golini bila mipango.
 
Ogopa kitu inaitwa aggregate Goli 2 za ugenin za al ahaly ni mlima mkubwa Kwa Simba kufuzu ,[emoji23][emoji23]
 
Kazi inaenda kumalizika Misri, Tukitumia mapungufu waliyoonyesha hapa kwa Mkapa tunatoboa

Al Ahly sio wa kutisha kihivyo, tunawaweza
Alisikika kolo mmoja aliyevimbewa makande yaliyochacha, UMESHINDWA kumfunga nyumbani kwako ambako umetumia nguvu kubwa ikiwemo uchawi wa Kila aina ndio ukamfunge kwao🤣🤣🤣
 
ili Simba afuzu lazima al ahaly apigwe ....

Je unaweza mfunga al ahaly kule kwake .....draw ya Simba kufuzu inatakiwa kuwa 3-3 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom