Tunaenda kumaliza kazi Misri, Al Ahly ni wa kawaida mno

Tunaenda kumaliza kazi Misri, Al Ahly ni wa kawaida mno

Kazi inaenda kumalizika Misri, Tukitumia mapungufu waliyoonyesha hapa kwa Mkapa tunatoboa

Al Ahly ni wepesi tu, tunawaweza
Al Ahly ni wepesi sana!! magoli waliyofunga ni magoli mepesi sana yaliyotokana na makosa ya walinzi yanayorekebishika kirahisi. Lakini simba imefunga magoli magumu sana na hawana jinsi ya kujaribu namna ya kufungwa magoli kama hayo!
 

Kwamba Ahly aliyekosa goli 5 za Wazi hakustahili kushinda Ila Simba?
Izo tano walizokosa Al Ahly watawakutanisha nazo nyinyi,hamini nakwambia.
1697686344463.jpg
 
Uhakika mkuu mpira tumeupga san jana,,ni kuongeza juhudi tu mwarabu anakaa
Mkuu nafikiri jamaa zako kijiweni au mkeo hawakwambii ukweli kuwa dish lako limeyumba! Kweli unasema mmeupiga mwingi? Kweli kabisa?

Beki ya kolowizard jana ilikuwa uchochoro, Al Ahly walibaki na kipa Ally Salim mara 3 uchawi wa Simba ukasaidia wakapaisha , penati ya wazi Al Ahly walinyimwa kwa msaada wa uchawi baada ya VAR officers kumwambia refa amepeta penati, arudi kuangalia tukio jamaa wa Ahly alivyokatwa mtama!

Al Ahly walicheza kwa technique na kiakili zaidi huku Simba wakipuyanga na kurukaruka na kutumia maguvu bila akili tena bila mipango!!

Jana mechi ilionesha nani kenge nani mamba!!

Simba iliumaliza mwendo Jana na tayari imekufa kiume kama desturi, mechi ya marudiano Simba itapigwa kama Ngoma 5G na Hatutaki lawama , mshangao wala kumuangushia kocha jumba bovu! Simba timu hamna!
 

Attachments

  • VID-20231022-WA0001.mp4
    1.2 MB
We ndo dishi limepepea,,kama upo bze kufatilia ya simba why usi focus na tim yako utopwinyo,,muangalie jins ya kupata hata sare na ihefu,,unafatilia mashindano ambayo tim yako haina vigezo vya kushiriki🤣🤣🤣
 
NILIISHA ONYA KWAMBA LAZIMA. MASHABIKI MJIANDAE KISAIKOLOJIA.

 
Kwa usajili WA KIPA AYOUB MDAKA MIPANZI NA ALLY SALUM

VIONGOZI WA SIMBA WANA UPUNBAFU MWINGI SANA.
 
Sawa. Wenyewe watakuwa wamekaa tu wametulia wanawasubiri nyie mtumie makosa yao.
 
Back
Top Bottom