Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukatakata kwako tamaa ndo maana hadi leo unanuka umasikini.Yaani Simba akapate ushindi au sare ya zaidi ya goli moja Cairo, Misri? Mkuu, punguza kuotaota. Simba imeshafika mwisho...
Cairo hutakutana na Al Ahaly ya Dar, wanaanza msako kuanzia dk ya kwanza, wanacheza tofauti kbs na walivyocheza huku.Mnauhakika hayo mapungufu waliyoyaonesha hapa Dar watayaonesha na huko Misri?? Na mnauhakika pia mapungufu yenu mliyoyaonesha hapa dar hamtayaonesha misri?
Alisikika ........ mmoja...Kazi inaenda kumalizika Misri, Tukitumia mapungufu waliyoonyesha hapa kwa Mkapa tunatoboa
Al Ahly ni wepesi tu, tunawaweza
Simba Wana Uchawi mkubwa wa wazi kabisa maana Al Ahly hawakuwa wakiona goli kabisa hadi wenyewe hawakuamini!Mnahesabu mlivyokuwa mnatishia tishia kipindi cha pili wakati ahly zile nafas tatu za kipindi cha kwanza mmezisahau kabisa.
Kwa kigezo lipi Simba atashinda huko misri
Shemeji ujambo ,Habibu ajamboMchezo umeutazama kishabiki au hujui mpira? Kocha wa Ahly kuanza na akina El Shahat nje kulikuwa na maana ya kucheza kwa tahadhari zaidi, na baada ya mambo kubadilika ndipo wakaingiza wazee wa kazi sote tumeona mambo yalivyobadilika.
Ahly sio wepesi, sio kwa Simba wala kwetu Yanga. Ni timu inayokwenda kwa mipango na wanabaki ktk mipango. Huwezi kuona kila mmoja anajaribu bahati kama Zimbwe Jr. Onana, Inonga na wengine waliokuwa wanajaribu kupiga hovyo golini bila mipango.
Uzwazwa.....Ni kipi ktk mpira hakiwezekani?
Au ndiyo zwazwa unaona kila mtu ni zwazwa km ww.
Kwa hyo ww unaakili nyingi kuliko refa na waamuzi wake tatizo la yanga mnapenda sana kulalamikia marefa.
Tulia uzuri al ahly hata nyinyi mtacheza nayeKolo
Kawabeba kwenye tukio lipi?Hakuna team yenye figisu na inayobebwa duniani kama al ahly yaani mechi zao nyingi wanashinda kwa fiksi tu leo refa kawabeba sana
Kule mkipigwa machache ni 3, hawatakosa tena kwenye nafasi za wazi kama zile.Kazi inaenda kumalizika Misri, Tukitumia mapungufu waliyoonyesha hapa kwa Mkapa tunatoboa
Al Ahly ni wepesi tu, tunawaweza
Utasema tu.Sasa huyo El shahat kafanya nn? Mbna hakna cha ajabu kwake hata km angeanza.