Tunaenda kumaliza kazi Misri, Al Ahly ni wa kawaida mno

Mnauhakika hayo mapungufu waliyoyaonesha hapa Dar watayaonesha na huko Misri?? Na mnauhakika pia mapungufu yenu mliyoyaonesha hapa dar hamtayaonesha misri?
Cairo hutakutana na Al Ahaly ya Dar, wanaanza msako kuanzia dk ya kwanza, wanacheza tofauti kbs na walivyocheza huku.
 
Mnahesabu mlivyokuwa mnatishia tishia kipindi cha pili wakati ahly zile nafas tatu za kipindi cha kwanza mmezisahau kabisa.
Kwa kigezo lipi Simba atashinda huko misri
Simba Wana Uchawi mkubwa wa wazi kabisa maana Al Ahly hawakuwa wakiona goli kabisa hadi wenyewe hawakuamini!

Tulishasema haya mashindano African Super League, Simba anasindikiza tu madume ya Mamba , hapa kwa droo ya jana Simba tayari wameumaliza mwendo , kule Misri makolo watapigwa kama Ngoma 5G!

Kila mtu ameona Al Ahly Jana ni wazi kabisa hawakufungua boosters zao kuheshimu viongozi wa mpira wa Dunia kuwepo uwanjani maana ingekuwa mbaya mno kuigaragaza Simba 5G kwao Tena mechi ya ufunguzi!
 
Shemeji ujambo ,Habibu ajambo
 
Jamaa hapo hawajatumia hata nusu ya uwezo waoo. Kule mtapigwa sanaaa! Thimba wanga Sanaa.
 
Mechi ya Jana Dunia ilikua inaona Alahly hawakua kinyonge sana ndomana wamepata sare kwa mara ya kwanza,Simba tunamapungufu na Al ahly pia wanamapungufu shida itakua kuyatumia mapungufu ya wenzetu na wao bila kutumia mapungufu yetu hapo ndio ugumu uliopo! ila kama tukienda na kuwa na nidhamu na kucheza bila kupiga pass za ovyo na kupoteza mipira kama tulivyofanya kipindi Cha kwanza mechi itakua ngumu kwa pande zote kule misri,Alahly wazuri sana wasipokua na mpira magoli yote waliotukosa na goli la kwanza ni kutokana wakati unawashambulia ukapoteza mpira ni kama umewaanzishia mashambulizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…