Duh! kama ni utaratibu wa kuwasiliana, ina maana mtu anapofikiri kitu/jambo fulani ni lazima kuwe na haja ya kuwepo mtu mwingine wa kuwasiliana naye?
Umeniuliza kama najua maana ya lugha, nikakujibu, swala la unawaza kwa kutumia lugha gani ni jingine kabisa, mbona unatoa hoja tofauti na jina lako!