Tunafikiri kwa kutumia lugha gani?

Tunafikiri kwa kutumia lugha gani?

kwa ufupi sana naomba ni changie kwa kusema kwamba binadamu yeyote hufikiri kwa lugha asilia ya kwake kwa maana ya kwamba ile mbayo amezaliwa nayo na kulelewa nayo mfano mtanzania lugha yake ya asili mara nyingi ni kiswahili kwa maana amezaliwa ili hali wanajamii wake wanaongea kiswahili na kasoma na kuendelea kukitumia kiswahili ..... inapotokea najifunza lugha zingine za ziada bado anakuwa amefungwa na ile lugha asilia kwa misingi ya kwamba mpaka apate kuelewa ile lugha ajifunzayo katika lugha asilia ndio hupata kuielewa ile lugha ajifunzayo ila asipoelewa maana yake kwa lugha yake asili atoweza kuitumia sababu kile kinachotokea ni kwamba lugha jifunza hubadilisha katika lugha asilia ndipo huleta maana kwa yule anaetaka kuitumia hayo ndio mawazo yangu
 
Binadamu hafikiri kwa lugha ila anfikiri kwa picha

Lugha ni final expression ya mawazo ya picha ya mwanadamu
 
Mental pictur kwnz then lugha. Hapo kwny lugha inaeza kuwa yoyote
 
binadamu ufikiri kwa kutumia lugha ya kwanza ambayo amejifunza naturally katika mazingira, wale wasiokuwa na uwezo wa kutumia lugha, kila binadamu huwa na kifaa LAD ambacho hutumika kutransform fikra katika mfumo wa lugha fulani INGAWA kifaa hiki kwa binadamu hutumika kama universal grammar au language facult
 
Mi nadhan lugha inayotumika kufikiria ni lugha yako ya kwanza kujifunza yaan ile ambayo umejifunzia kuongea ukiwa mtoto.
 
Mi nadhan lugha inayotumika kufikiria ni lugha yako ya kwanza kujifunza yaan ile ambayo umejifunzia kuongea ukiwa mtoto.
 
Unajua katika kufikiri huwa hatutumii Lugha. Lugha ni mawasiloano kati ya mtu na mtu au mtu na kitu au kitu na kitu kulingana na protocol.

Kufikili, kwa mujibu wa wanafalsafa hutokea katika sehemu ya mwanadamu inayoitwa nafsi.

Na baada ya nafsi kutoa maamuzi ndio action inatokea kwenye mwili.

Nafsi ni hisia, ufahamu na maarifa.
 
Back
Top Bottom