Duh! kama ni utaratibu wa kuwasiliana, ina maana mtu anapofikiri kitu/jambo fulani ni lazima kuwe na haja ya kuwepo mtu mwingine wa kuwasiliana naye?
Fikra huwa ni mfano wa picha ambayo mtu hutengeneza ndani ya akili yake na kwa kawaida picha huwa haina lugha!
Umeniuliza kama najua maana ya lugha, nikakujibu, swala la unawaza kwa kutumia lugha gani ni jingine kabisa, mbona unatoa hoja tofauti na jina lako!
Kuna lugha ya picha ndugu, nso maana kuna katuni hazina maneno lakini ukiitazama ilivyochorwa ujumbe unakufikia, ni namna ya mawasiliano ile. Hata picha ikipigwa kwa kusudi la kufikisha ujumbe flani ukiitazama utajua mpiga picha alikusudia kutuambia nini. Kuna lugha ya picha. Narudia lugha inamaana pana sana.
Ni lugha ipi ambayo mtu huitumia wakati anafikiri? binafsi nimeshindwa kujua lugha nnayotumia wakati wa kufikiri(sio kuzungumza),
Vipi kwa wale wanaotumia lugha zaidi ya moja ktk kuzungumza, je kabla ya kuamua kuzungumza anakuwa amefikiri kwa lugha ipi? Ni lugha ya mazingira tu mtu aweza kufikiri kabla ya kusema AMA kufanya jambo. Lugha hii ya mazngira inajieleza yenyewe kutokana Na tafsirii ya ubongo kwa eneo husika.
Hoja sio lugha ya picha bali ni lugha ipi hasa inayotumika kufikiri? picha inaweza kukufanya ufikiri, hata hivyo picha sio lugha.
HUFAI kujiita Intelligent, kuna watu wasijua lugh yoyote ile... hasikii wala haongei, ina maana mtu wa namna hii huwa hafikirii??? Haupo serious, fikra huja kwa mfumo wa picha kichwani na si vinginevyo.
Ni lugha ipi ambayo mtu huitumia wakati anafikiri? binafsi nimeshindwa kujua lugha nnayotumia wakati wa kufikiri(sio kuzungumza),
Vipi kwa wale wanaotumia lugha zaidi ya moja ktk kuzungumza, je kabla ya kuamua kuzungumza anakuwa amefikiri kwa lugha ipi? kwani anaweza kuchagua ni lugha ipi aitumie, lakini lugha ya kufikiri ni moja tu, kufikia hapo ndipo nnapotaka kujua lugha ya kufikiri ni ipi?
HUFAI kujiita Intelligent, kuna watu wasijua lugh yoyote ile... hasikii wala haongei, ina maana mtu wa namna hii huwa hafikirii??? Haupo serious, fikra huja kwa mfumo wa picha kichwani na si vinginevyo.
Ni kipi hujakielewa mkuu? hilo swali lenye viulizo vitatu mimi pia nimelitumia kuuliza, wewe unaniuliza na wakati mimi pia nimeuliza!! jenga hoja vizuri wewe sio MchunguZIHURU.
umejuaje ni lugha?
ni nini kinafikiria ufikiri unacho fikiri kufikiria??
jibu lako ni MAZINGIRA ndo hupelekea kutoa lugha ya nje hakuna lugha ya ndani
Una maana kuwa MAZINGIRA ndio kitu kinachofikiri ufikiri unachofikiria?? hebu pitia upya comment yako uone ilivyokosa logic.
Miongoni mwa ma-bwe.ge niliyowasikia mwaka huu hauwezi kukosa, ninaposema mtu hufikiri kwa mfumo wa picha haina maana picha anakuwa anaiona kwa nje ila ni picha anayoitengeneza muhusika kwenye ''mind'' yakehata kipofu aliyezaliwa directly na hiyo problem?? YOU CANT CALL YOURSELF MCHUNGUZI HURU.
lugha inayotumika kufikiria niile unayoihitaji kwawakat huo,.mfano:ukiwaunazungumza kiingereza kwawak huo utatumia kiingereza kufikiria ndiomaana speed yatoa maamuzi huwasawa nauwezo wamtu kuitumia lugha husika..
Miongoni mwa ma-bwe.ge niliyowasikia mwaka huu hauwezi kukosa, ninaposema mtu hufikiri kwa mfumo wa picha haina maana picha anakuwa anaiona kwa nje ila ni picha anayoitengeneza muhusika kwenye ''mind'' yake
kipofu ndo anajibu not you?----- ni mtu wa aina gani!
Tunaendelea.