Tunahitaji Katiba Mpya au upinzani mpya?

Kwa kuwataja viongozi wa upinzani tu, kwahyo wa chama tawala wenyew wapo perfect? Hapo umeonyesha rangi yako hivyo na thread yako inaonekana imekaa kitikadi zaidi,,,, kwahyo post yako imeonekana haina maana
Akatuzuga kwa kumuweka Nape.Teh!
 
Watu waliandaa hadi namba za Noah na kupata leseni bora za udereva halafu hakuzileta.Teh!
 
Bado umemsahau mwongo mkuu wa africa Kassim Majaliwa
 
Siyo laki tano,Ni milioni hamsini kila kijiji.
 
Wapi kasimu majariwa na boss wake?
 
Wanaotakiwa kutubu ni hawa wafuatao:-
.JOHN POMBE MAGUFURI aliyedanganya Watanzania mbumbumbu kuwa Tanzania hakuna korona wakati mamia ya watu wakiendelea kupukutika,pia akasema uchumi wa nchi umepanda wakati alijua fika kuwa mifuko mingi kwa watanzania wengi ilitoboka.
2.Mama Samia Suluhu anayezunguka dunia nzima kuharibu hela za walipa kodi.
3.ALI HASSANI MWINYI aliyetaka kuiuza Tanzania kwa Waarabu na kufurahia maovu aliyokuwa anafanya Magufuri.
4.MWIGULU NCHEMBA aliyesema tozo za simu zitainua uchumi wa nchi huku gharama za maisha zikizidi kupanda wakati wa uwaziri wake.
5.JOB NDUGAI huyu ndiye shetani mkubwa wa nchi hii kuvuruga chaguzi zote na kuweka wabunge feki Bungeni.
6.MAHERA ni mhujumu uchumi wa nchi kwa kuhujumu uchaguzi wakati akijua fika kuwa anachokifanya si sahihi.
7.NAPE NNAUYE kwa kuzima Bunge kuficha hoja za msingi mpaka alipotumbuliwa ndiyo akagundua kuwa serikali ya yule mwovu ilikuwa inaonea watu,pamoja na hayo Nape ni ndumilakuwili.
8.MAKONDA kwakujifanya rais kwa misingi ya ukabila enzi za mwendazake.
 
Sorry, hapo ungeandika mungu ungekuwa sahihi. Kuna tofauti kubwa sana kati ya Mungu na mungu.
Yule dikteta alikuwa mungu.
 
Yoote manasiasa maongo njaaa tu yakula tu haya majamaa
 
Ripoti ya kuungua kwa soko la kariakoo umeipata.?? Hujadanganywa? Je 50M Kila kijiji, mwenzetu kijiji chenu kilipata!?
 
Waje WATUBU kweupe. Wasamehewe laana ziwatoke. Amen
 
Mwambie ukweli huyo ndezi!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…