Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Sasa aliyeahidi kwamba angeitoa hadharana naye ni muongo na hujamuandikaSijaiona mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa aliyeahidi kwamba angeitoa hadharana naye ni muongo na hujamuandikaSijaiona mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani ungeanza na Kassim ningekuelewa, naona unaongea kikada!
Kwani mwanaumoja wewe unetumwa nananiAkina Mdee wako bungeni sababu ya utawala bora wa Magufuli, aliwaweka pembeni mahawara wa viongozi wa chadema
Jikite kwenye hojaKwani mwanaumoja wewe unetumwa nanani
Magufuli. Huyu alidanganya watu kwamba tanzania tuko uchumi wa tatu na punde tu tutakuwa donar country.Hii tabia ya wana siasa kusema uongo mfululizo ikiachwa iote mizizi bila kukemewa inaweza kuja kuleta maafa makubwa sana kwa taifa kwa kupandikiza chuki ndani ya jamii na kujikuta watanzania wazalendo wanawekwa pembeni na mafisadi ndiyo yanashika usukani wa kuongoza nchi yetu.
Kwa kuzingatia amri ya Mungu inayotutaka kutosema uongo wala kumshuhudia jirani yako uongo basi wanasiasa wafuatao wanatakiwa kujitokeza mbele ya jamii kutubu na kuwaomba radhi watanzania kwa kuwaaminisha uongo kabla ya ghazabu za mwenyezi Mungu hazijawashukia.
1. Zito Kabwe
Huyu alianza kwa kupinga ufufuaji wa shirika la ndege, akawatangazia watanzania kwamba ndege zinazonunuliwa na serikali ni mitumba hivyo hazitakuja kufanya kazi yoyote. Leo ndege hizo zimemaliza miaka 5 zikipiga kazi ya kusafirisha abiria ndani na nje ya nchi na yeye mwenyewe Zito Kabwe amekuwa mteja mkubwa wa ndege hizo! Je, ni lini Zito atatoka mbele ya jamii kukanusha uongo wake kwamba hizo ndege hazikuwa mitumba?
2. Tundu Lissu
Huyu alipinga serikali kuanzisha upya mazungumzo kuhusu mikataba mbalimbali ya madini iliyokuwa inanyonya nchi yetu. Lisu alijigeuza wakili wa kutetea Acacia na akawatisha watanzania kwamba watashitakiwa MIGA !, cha kushangaza kampuni ya Acacia walikubali matakwa ya serikali na kuunda kampuni mpya ya Twiga iliyopelekea mapato ya madini kupanda maradufu hapa nchini. Je Lisu akatubu lini kwamba aliwadanganganya Watanzania?
3. Freeman Mbowe
Huyu aliwadanganya watanzania kwamba lazima wafanye lockdown ya Corona na chanjo ya Corona lazima iwe lazima Tanzania , alifikia hatua ya kuanza kufanya mikutano kwa njia ya mtandao lakini jioni akawa anaonekana bila barakoa kwenye viwanja vya bia, je alikuwa anamdanganya nani?
4. John Heche
Huyu alipinga ujenzi wa reli ya kisasa(SGR) akasema watanzania waamke hakuna kipande hata cha mita moja cha reli ya kisasa kitakachojengwa,lakini sasa kipande cha Dar -Dodoma kimeshakamilika na Heche bado hajatoka hadharani kufuta uongo wake!
5. Nape Nnauye
Huyu alitumia kila njia kupinga ujenzi wa bawawa la kufua umeme la mwl Nyerere kwamba utaleta hatari kubwa kwa wakazi wa mikoa ya kusini, lakini ujenzi wa bwawa unaendelea na umefikia 70% lakini bado Nape hajajitoleza tena kuwafafanulia wananchi hatari walizozipata mpaka sasa kutokana na mradi huo kufikia 70%. Kutokujitokeza kwake kuainisha hizo athari maana yake alisema uongo na hatujui alikuwa anasema uongo ili watanzania wasichimbe bwawa lao kwa faida ya nani.
Huna elimu we ni nyumbu mkubwa sana nenda kasome taarifa za world bankMagufuli. Huyu alidanganya watu kwamba tanzania tuko uchumi wa tatu na punde tu tutakuwa donar country.
Kumbe SGR huioni?Mbona kwenye List hakuna John Pombe Magufuli? Maana hakuna mwanasiasa muongo zaidi yake...
Zee la kujenga SGR kwa fedha zetu wenyewe..[emoji23][emoji23]
Trilioni 390 za makinikia...
Kubangua korosho kwa mabomu
Kwa fedha za ndani?Kumbe SGR huioni?
We jinga unateseka ukiwa wapiMbona kwenye List hakuna John Pombe Magufuli? Maana hakuna mwanasiasa muongo zaidi yake...
Zee la kujenga SGR kwa fedha zetu wenyewe..[emoji23][emoji23]
Trilioni 390 za makinikia...
Kubangua korosho kwa mabomu
Tumepewa msaada wa fedha na nani?Kwa fedha za ndani?
Tunasubili treniKama List yako haina
1. JPM
2. Kassim
3. Jiweke na wewe maana unasema kipande cha SGR Dar - Dodoma kimekamilika, huoni aibu? Kimekamilika lini? Uliwahi safiri hicho kipande?
Ni batili
Endelea kusubiri treni hewqTunasubili treni
Mimi niteseke tena?😂😂😂