imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Lakini hizo Sheria zenyewe zinaingiliwa na Wanasiasa Musiba anakashifu Watu halafu wakidai fidia Hakimu anahamishiwa TunduruHakuna Sheria inakataza kudai fidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini hizo Sheria zenyewe zinaingiliwa na Wanasiasa Musiba anakashifu Watu halafu wakidai fidia Hakimu anahamishiwa TunduruHakuna Sheria inakataza kudai fidia
Ahaaa, unanifanya nicheke bure. Ni ngumu sana kuprove tort ya malicious prosecution. Maana siku zote polisi watajitetea kuwa walimshitaki mtu kuenforce law. Hata Usa na Europe ni fidia tu huwa zinawasaidia waliobambikiwa kesi.Sasa si uombe tu kuelimishwa badala ya kujitutumua wakati una argue pumba??
Tatizo unagugo halafu unajaribu kupambana ngoja nikuache na ulimbukeni wako, maana ungekuja Kwa staha ningepoteza muda wangu kukuelimisha Ila ukitaka kujifunza Jambo jifanye mjinga utafahamu mengi sana.Ahaaa, unanifanya nicheke bure. Ni ngumu sana kuprove tort ya malicious prosecution. Maana siku zote polisi watajitetea kuwa walimshitaki mtu kuenforce law. Hata Usa na Europe ni fidia tu huwa zinawasaidia waliobambikiwa kesi.
Tuwekee kesi hata moja hapa Tanzania ambayo mtu alishinda malicious prosecution.
Huna lolote.Tatizo unagugo halafu unajaribu kupambana ngoja nikuache na ulimbukeni wako, maana ungekuja Kwa staha ningepoteza muda wangu kukuelimisha Ila ukitaka kujifunza Jambo jifanye mjinga utafahamu mengi sana.
Kweli sheria hizi zili zungumzwa na wabunge wawili mmoja ni marehemu kutoka Pemba na Askofu Gwajima.Ukitaka kujua hapa Tanzania kubambikia watu kesi ni tatizo kubwa basi hudhuria mahakamani mara kwa mara.
Unaweza kusikia mtuhumiwa wa miaka 40 hati yake ya mashitaka ikitaja kuwa ana miaka 21. George Banoba akatajwa kuwa anaitwa Mohamed John. Hii yote tu ni waendesha mashitaka kulazimisha watu wafungwe na wao kupata sifa kuwa wanapiga kazi.
Unaweza kushtushwa na binti aliyepigwa mimba anatishwa amsingizie mshitakiwa ili mradi tu waendesha mashitaka wamfunge mtuhumiwa.
Wapo watu wanakamatwa kwa uzururaji lakini wanapewa kesi za ujambazi mpaka ukweli uje kupatikana mtu anakuwa amesota kama mwaka mzima gerezani.
Ni wazi kuwa kubambikia wananchi kesi ni suala ambalo lipo wazi na wengi wanaumia kwa kufungwa au kukaa mahabusu kwa muda mrefu. Ipo haja sasa mtu akipata madhara ya kubambikiwa kesi aweze nae kufungua kesi na kupata fidia.
Bahati mbaya huwezi kusikia mbunge akihoji au kutaka kuwe na sheria kama hii
Sheria ipi?Sheria ipo unaruhusiwa kudai fidia. Sema wengi wanaamua tu kusamehe maana kule mahali sio kizuri kabisa.
Watakuja kusema wanasheria, mimi nnachokijua ni kwamba mtu akikushtaki mashtaka ya uongo unaweza kudai fidia kwa muda na hasara ulizozipata kutokana na kesi hiyo ya uongoSheria ipi?
Ukifungwa kwa mashitaka ya uongo? Je polisi kumshitaki mtu kwa ujambazi au wizi baadae wakamuondoa kwenye shitaka hii imekaaje?Watakuja kusema wanasheria, mimi nnachokijua ni kwamba mtu akikushtaki mashtaka ya uongo unaweza kudai fidia kwa muda na hasara ulizozipata kutokana na kesi hiyo ya uongo
Hapa hatujadili urahisi au ugumu. Tunajadili je hicho kitu kipo?Ukifungwa kwa mashitaka ya uongo? Je polisi kumshitaki mtu kwa ujambazi au wizi baadae wakamuondoa kwenye shitaka hii imekaaje?
Malicious prosecution sio kitu rahisi unavyodhania