Tunahitaji kuwa na sheria itayowapa haki waliobambikiwa kesi kudai fidia

Sasa si uombe tu kuelimishwa badala ya kujitutumua wakati una argue pumba??
Ahaaa, unanifanya nicheke bure. Ni ngumu sana kuprove tort ya malicious prosecution. Maana siku zote polisi watajitetea kuwa walimshitaki mtu kuenforce law. Hata Usa na Europe ni fidia tu huwa zinawasaidia waliobambikiwa kesi.

Tuwekee kesi hata moja hapa Tanzania ambayo mtu alishinda malicious prosecution.
 
Tatizo unagugo halafu unajaribu kupambana ngoja nikuache na ulimbukeni wako, maana ungekuja Kwa staha ningepoteza muda wangu kukuelimisha Ila ukitaka kujifunza Jambo jifanye mjinga utafahamu mengi sana.
 
Huna lolote.
 
Hivyo vyesi vya Malicious Prosecution haviwezi kukubalika katika nchi hii kwa sababu wanaona wapinzani watanufaika na matokeo yake. That's all.
 
Kweli sheria hizi zili zungumzwa na wabunge wawili mmoja ni marehemu kutoka Pemba na Askofu Gwajima.
Wabunge wengi walika kimya.
Nadhani hawajuwi kuwa kuna mwisho wawo katika ubunge au hata uwaziri. na ikosiku wata rudi uraiani. hayo makosa yanayo husishwa na hizo sharia ya na weza kuwakuta wakati wowote na kuja kujutia baadae.
nani alijuwa kuwa Mfano Ole sabayo atafunguliwa mashataka kama hayo.
Kangi Lugola yuwapi.
Basi na mwengine yatamkuta.
Amkeni wabunge na kubadilisha uonevu msijione mko bungeni lakini hali ya hewa inaweza kubadilika wakati wowote
 
Sheria ipo unaruhusiwa kudai fidia. Sema wengi wanaamua tu kusamehe maana kule mahali sio kizuri kabisa.
 
Watakuja kusema wanasheria, mimi nnachokijua ni kwamba mtu akikushtaki mashtaka ya uongo unaweza kudai fidia kwa muda na hasara ulizozipata kutokana na kesi hiyo ya uongo
Ukifungwa kwa mashitaka ya uongo? Je polisi kumshitaki mtu kwa ujambazi au wizi baadae wakamuondoa kwenye shitaka hii imekaaje?

Malicious prosecution sio kitu rahisi unavyodhania
 
Ukifungwa kwa mashitaka ya uongo? Je polisi kumshitaki mtu kwa ujambazi au wizi baadae wakamuondoa kwenye shitaka hii imekaaje?

Malicious prosecution sio kitu rahisi unavyodhania
Hapa hatujadili urahisi au ugumu. Tunajadili je hicho kitu kipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…