Watumie na mbolea ya super gro kwa atakae hitaji inapatikana anichekiIda si kubwa ya wa-Tanzania wanaishi kijijini, Hii ni takribani 70% ya wa-Tanzania. Hawa wanategemea kilimo ili kuendesha maisha yao. Bado jembe la mkono ndiyo nyenzo kubwa ya kutendeackazi.
Kama vijana wanakopeshwa bodaboda , haiwezekani wakopeshwe matrecta ya gharama nafuu?
View attachment 996957
Hili tractor ni moja ya matractor ya gharama nafuu ambalo kinaweza kufanya kazi mbalimbali kwa kubadilisha jembe kulimia au kuvunia.
Kwakweli jembe la mkono linakatisha tamaa katika mapinduzi ya kilimo. Unamwanbia kijana wa miaka 18 baada ya kumaliza darasa la 12 akashike jembe.
Hapo ninadhani wataalamu wa agro economic wameshindwa kujiongeza katika kutafuta masoko na pia kuboresha packaging.Labda swali tuliweke hivi, kwanini ni rahisi kukopeshwa boda boda au bajaji kuliko trekta?
Jawabu lake linategemea hasa uwezo wa 'biashara' husika katika kupata faida na kurudisha mkopo na riba kwa wakati. Nafikiri shida ipo kwenye biashara yenyewe ya kilimo faida imekua sio guarantee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Matumbo million 55, hamna haja ya kutafuta soko, soko liko wazi; shida ipo katika sera za nchi sio kwa wataalam wa agrieconomics.Hapo ninadhani wataalamu wa agro economic wameshindwa kujiongeza katika kutafuta masoko na pia kuboresha packaging.
Nimeziona carmatec njiro, arusha bei sijauliza.Kweli inabidi wakulima tukipeshwe trekta jamani... Kwa kuuzwa ni bei gani hili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, hakuna sera ya kumlinda mkulima baada ya kuvuna mazao. Nchi nyingine serikali ni regulator inamlinda mkulima kwa kudhibiti bei ya mazao sokoni kwahiyo mkulima kabla hajalima anajua nikivuna nitauza kilo moja kwa TSh ngapi haijalishi msimu ulikuwa mzuri au mbaya na ndiyo maana wenzetu wanakopesheka kirahisi na mabenki.Matumbo million 55, hamna haja ya kutafuta soko, soko liko wazi; shida ipo katika sera za nchi sio kwa wataalam wa agrieconomics.
Kungekuwa na mashamba ya mfano katika kila kata ambayo yanasimamiwa na afisa kilimo. Wanafunzi wa vyuo vya kilimo wapelekwe field huko ili kufanya kazi na wananch angalau miezi mitatu kila mwaka.Tatizo hakuna mkazo katika kilimo, strategy hamna, hata watalaamu wetu sijaona cha maana sana au elimu wanayoitoa kwa wakulima mbaya zaidi unatumia nguvu nyingi kulima mwisho wa siku hakuna faida unayoipata
Kwa kijana anaemaliza darasa la saba au la 12 na unamkabidhi jembe eti ndiyo uti wa mgongo wa taifa. Ni kama unampa kifungo cha maisha.Bado tuko zama za kale za mawe...50+ years down the line baada ya uhuru bado tunategemea jembe la mkono
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachokiongea kiko sawa watalaamu wetu wa kilimo wanahitaji kuja na mbinu mbadala kuhakikisha hili linatekelezekaKungekuwa na mashamba ya mfano katika kila kata ambayo yanasimamiwa na afisa kilimo. Wanafunzi wa vyuo vya kilimo wapelekwe field huko ili kufanya kazi na wananch angalau miezi mitatu kila mwaka.
Ili hayo yatimie kunahitajika nyumba yenye basic needs kwaajili ya wataalamu hao.
Bado tuko zama za kale za mawe...50+ years down the line baada ya uhuru bado tunategemea jembe la mkono
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kijana anaemaliza darasa la saba au la 12 na unamkabidhi jembe eti ndiyo uti wa mgongo wa taifa. Ni kama unampa kifungo cha maisha.
Hili la bararara ni minimumu sana. Nilisoma kitabu kuhusu maendeleo ya Ulaya, wanasema walipofikia uchumi wa kilimo walihakikisha barabara zote mpaka vijijini zinawekwa lami ili mazao yote ya wananchi yaweze kufika sokoni.Upo sahihi, Jembe la mkono haliwezi kumkomboa mkulima. Hapo ndipo kulikuwa na udhaifu kwenye sera za Mwalimu Nyerere, kuna mengi mazuri alifanya kama kutufanya tuwe wamoja, kufuta ukabila, udini, kusaidia ukombozi wa Afrika nk.
Lakini kuwapeleka watu vijijini, kuwapa jembe kutegemea kwamba watajitegemea kwa ajiri ya jembe na mvua zisizotabirika, hapo alikosea.
Trekta, irrigation, protection of crops, masoko, barabara zinazopitika hata msimu wa mvua,viwanda vidogo vya kuprocess na kuyatunza mazao hapo bado tuna tatizo.
Hili la bararara ni minimums sana. Nilisoma kitabu kuhusu maendeleo ya Ulaya, wanasema walipofikia uchumi wa kilimo walihakikisha barabara zote mpaka vijijini zinawekwa lami ili mazao yote ya wananchi yaweze kufika sokoni.
Pamoja na hayo vyama vya ushirika na ruzuku kutoka serikalini vilisaidia sana wakulima. Niwaza tu kama vya na vya ushirika vikianzishwa bila ufisadi na kila mkulima akatwe 10% kwa vidaka vya ujenzi kila mwaka. Wakulima kuwa na nyumba bora inawezekana.
Pia wataalamu wetu hatujaweza kuwatumis ipasavyo. Kukiwa na mashamba, ufugaji vya nfano katika kila kata ili wanancji wajifunzie practically.Inawezekana tukiamua, ni maamuzi tu Sky.
Nchi zenye eneo dogo sana zaidi ya yetu zinatupa msaada.
Ukipata soko la maana kuwa supplier kwenye supermarkets za ulaya, middle East, Asia, majirani zetu. Mbogamboga, matunda, nyama, ukawa na good packaging tunatoboa. Tutaweza kuwasadia wakulima wetu kiukweli.
Ufisadi, wizi, ubinafsi, ujanja ujanja ni vigumu sana kuudhibiti kwa nchi zetu za kiaafrika.
Kuweka maslahi ya taifa, wakulima kwanza kwetu waafrika ni shida sana.
Hilo la 10% ni wazo zuri sana, labda 5% inaweza kuwa kwa ajiri ya insurance (bima), 5%kwa ajiri ya kujenga nyumba.
Pale kwenye misimu mibaya, soko likiwa chini wakulima wapewe fidia. Kwahiyo mapato yao yawe constant, yanatabirika.
Pia wataalamu wetu hatujaweza kuwatumis ipasavyo. Kukuambia na mashamba, ufugaji vya nfano katika kila kata ili wanancji wajifunzie practically.
Kwanza wananchi wanaweza kunufaika kwa maziwa, kuku na mayai, matunda na mbogamboga kutoka ‘agriculture’ wenyewe wanavyoita na wao kuwa waters wa kwanza.