Tunahitaji mapunduzi ya kilimo

Tunahitaji mapunduzi ya kilimo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Ida si kubwa ya wa-Tanzania wanaishi kijijini, Hii ni takribani 70% ya wa-Tanzania. Hawa wanategemea kilimo ili kuendesha maisha yao. Bado jembe la mkono ndiyo nyenzo kubwa ya kutendeackazi.

Kama vijana wanakopeshwa bodaboda , haiwezekani wakopeshwe matrecta ya gharama nafuu?

1547710099461.jpeg

1064128

Hili tractor ni moja ya matractor ya gharama nafuu ambalo kinaweza kufanya kazi mbalimbali kwa kubadilisha jembe kulimia au kuvunia.

Picha ya pili ni jembe la diseal, linagharimu $1,500 na linalima ekari moja kwa masaa manne
Kwakweli jembe la mkono linakatisha tamaa katika mapinduzi ya kilimo. Unamwanbia kijana wa miaka 18 baada ya kumaliza darasa la 12 akashike jembe.
 
Ida si kubwa ya wa-Tanzania wanaishi kijijini, Hii ni takribani 70% ya wa-Tanzania. Hawa wanategemea kilimo ili kuendesha maisha yao. Bado jembe la mkono ndiyo nyenzo kubwa ya kutendeackazi.

Kama vijana wanakopeshwa bodaboda , haiwezekani wakopeshwe matrecta ya gharama nafuu?

View attachment 996957

Hili tractor ni moja ya matractor ya gharama nafuu ambalo kinaweza kufanya kazi mbalimbali kwa kubadilisha jembe kulimia au kuvunia.

Kwakweli jembe la mkono linakatisha tamaa katika mapinduzi ya kilimo. Unamwanbia kijana wa miaka 18 baada ya kumaliza darasa la 12 akashike jembe.
Watumie na mbolea ya super gro kwa atakae hitaji inapatikana anicheki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda swali tuliweke hivi, kwanini ni rahisi kukopeshwa boda boda au bajaji kuliko trekta?
Jawabu lake linategemea hasa uwezo wa 'biashara' husika katika kupata faida na kurudisha mkopo na riba kwa wakati. Nafikiri shida ipo kwenye biashara yenyewe ya kilimo faida imekua sio guarantee!

Hapo ninadhani wataalamu wa agro economic wameshindwa kujiongeza katika kutafuta masoko na pia kuboresha packaging.
 
Matumbo million 55, hamna haja ya kutafuta soko, soko liko wazi; shida ipo katika sera za nchi sio kwa wataalam wa agrieconomics.
Kweli kabisa, hakuna sera ya kumlinda mkulima baada ya kuvuna mazao. Nchi nyingine serikali ni regulator inamlinda mkulima kwa kudhibiti bei ya mazao sokoni kwahiyo mkulima kabla hajalima anajua nikivuna nitauza kilo moja kwa TSh ngapi haijalishi msimu ulikuwa mzuri au mbaya na ndiyo maana wenzetu wanakopesheka kirahisi na mabenki.

Hapa tz bei utajua ukishavuna mfano mwaka juzi mbaazi iliuzwa 2800 msimu ulioguata ikauzwa 200 mpk 100 kwa kilo. Ni risk kwa benki kumkopesha mkulima wa tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hakuna mkazo katika kilimo, strategy hamna, hata watalaamu wetu sijaona cha maana sana au elimu wanayoitoa kwa wakulima mbaya zaidi unatumia nguvu nyingi kulima mwisho wa siku hakuna faida unayoipata
 
Kungekuwa na mashamba ya mfano katika kila kata ambayo yanasimamiwa na afisa kilimo. Wanafunzi wa vyuo vya kilimo wapelekwe field huko ili kufanya kazi na wananch angalau miezi mitatu kila mwaka.

Ili hayo yatimie kunahitajika nyumba yenye basic needs kwaajili ya wataalamu hao.
 
Unachokiongea kiko sawa watalaamu wetu wa kilimo wanahitaji kuja na mbinu mbadala kuhakikisha hili linatekelezeka
 
Bado tuko zama za kale za mawe...50+ years down the line baada ya uhuru bado tunategemea jembe la mkono

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukweli mchungu.

Hivi kweli haiwezekani wakulima 10 wakijipanga kununua trekta kila mmoja anachangia milioni moja. Wakimaliza kulima kwenye mashamba yao wanalikodisha, kwa wakulima wengine.

Wanaweza kurudisha pesa zao ndani ya miaka miwili na kupata faida, kuchimba visima kwa ajiri ya irrigation, matumizi ya mbolea, dawa, ni vitu kila mkulima anatakiwa avijue.
 
Kwa kijana anaemaliza darasa la saba au la 12 na unamkabidhi jembe eti ndiyo uti wa mgongo wa taifa. Ni kama unampa kifungo cha maisha.

Upo sahihi, Jembe la mkono haliwezi kumkomboa mkulima. Hapo ndipo kulikuwa na udhaifu kwenye sera za Mwalimu Nyerere, kuna mengi mazuri alifanya kama kutufanya tuwe wamoja, kufuta ukabila, udini, kusaidia ukombozi wa Afrika nk.

Lakini kuwapeleka watu vijijini, kuwapa jembe kutegemea kwamba watajitegemea kwa ajiri ya jembe na mvua zisizotabirika, hapo alikosea.

Trekta, irrigation, protection of crops, masoko, barabara zinazopitika hata msimu wa mvua,viwanda vidogo vya kuprocess na kuyatunza mazao hapo bado tuna tatizo.
 
Hili la bararara ni minimumu sana. Nilisoma kitabu kuhusu maendeleo ya Ulaya, wanasema walipofikia uchumi wa kilimo walihakikisha barabara zote mpaka vijijini zinawekwa lami ili mazao yote ya wananchi yaweze kufika sokoni.

Pamoja na hayo vyama vya ushirika na ruzuku kutoka serikalini vilisaidia sana wakulima. Niwaza tu kama vya na vya ushirika vikianzishwa bila ufisadi na kila mkulima akatwe 10% kwa vifaa vya ujenzi kila mwaka. Wakulima kuwa na nyumba bora inawezekana.
 
Hili la bararara ni minimums sana. Nilisoma kitabu kuhusu maendeleo ya Ulaya, wanasema walipofikia uchumi wa kilimo walihakikisha barabara zote mpaka vijijini zinawekwa lami ili mazao yote ya wananchi yaweze kufika sokoni.

Pamoja na hayo vyama vya ushirika na ruzuku kutoka serikalini vilisaidia sana wakulima. Niwaza tu kama vya na vya ushirika vikianzishwa bila ufisadi na kila mkulima akatwe 10% kwa vidaka vya ujenzi kila mwaka. Wakulima kuwa na nyumba bora inawezekana.

Inawezekana tukiamua, ni maamuzi tu Sky.

Nchi zenye eneo dogo sana zaidi ya yetu zinatupa msaada.

Ukipata soko la maana kuwa supplier kwenye supermarkets za ulaya, middle East, Asia, majirani zetu. Mbogamboga, matunda, nyama, ukawa na good packaging tunatoboa. Tutaweza kuwasadia wakulima wetu kiukweli.

Ufisadi, wizi, ubinafsi, ujanja ujanja ni vigumu sana kuudhibiti kwa nchi zetu za kiafrika.

Kuweka maslahi ya taifa, wakulima kwanza kwetu waafrika ni shida sana.

Hilo la 10% ni wazo zuri sana, labda 5% inaweza kuwa kwa ajiri ya insurance (bima), 5%kwa ajiri ya kujenga nyumba.

Pale kwenye misimu mibaya, soko likiwa chini wakulima wapewe fidia. Kwahiyo mapato yao yawe constant, yanatabirika.

Ila hizo 10% kuna watu watataka kuzipiga. Wengi tu kama mifuko mingine ya serikali nssf, nspf nk. Hapo sasa kuna kazi.
 
Inawezekana tukiamua, ni maamuzi tu Sky.

Nchi zenye eneo dogo sana zaidi ya yetu zinatupa msaada.

Ukipata soko la maana kuwa supplier kwenye supermarkets za ulaya, middle East, Asia, majirani zetu. Mbogamboga, matunda, nyama, ukawa na good packaging tunatoboa. Tutaweza kuwasadia wakulima wetu kiukweli.

Ufisadi, wizi, ubinafsi, ujanja ujanja ni vigumu sana kuudhibiti kwa nchi zetu za kiaafrika.

Kuweka maslahi ya taifa, wakulima kwanza kwetu waafrika ni shida sana.

Hilo la 10% ni wazo zuri sana, labda 5% inaweza kuwa kwa ajiri ya insurance (bima), 5%kwa ajiri ya kujenga nyumba.

Pale kwenye misimu mibaya, soko likiwa chini wakulima wapewe fidia. Kwahiyo mapato yao yawe constant, yanatabirika.
Pia wataalamu wetu hatujaweza kuwatumis ipasavyo. Kukiwa na mashamba, ufugaji vya nfano katika kila kata ili wanancji wajifunzie practically.

Kwanza wananchi wanaweza kunufaika kwa maziwa, kuku na mayai, matunda na mbogamboga kutoka ‘agriculture’ wenyewe wanavyoita na wao kuwa waters wa kwanza.
 
Pia wataalamu wetu hatujaweza kuwatumis ipasavyo. Kukuambia na mashamba, ufugaji vya nfano katika kila kata ili wanancji wajifunzie practically.

Kwanza wananchi wanaweza kunufaika kwa maziwa, kuku na mayai, matunda na mbogamboga kutoka ‘agriculture’ wenyewe wanavyoita na wao kuwa waters wa kwanza.

Bado hatujui tunataka nini, Hatujaamua kwa dhati na kumaanisha, Bado tunasuasua.

Kufikia haya malengo wakati mwingine inabidi kutumia nguvu kidogo. Watu ni wagumu sana kuelewa, inabidi wajue mfano ukiiba pesa za serikali, za wakulima unaenda jela kwa miaka 30, maisha.

Usipofanya kazi yako, unafukuzwa kazi. Ni mambo magumu. Maamuzi magumu. Sidhani kama tupo tayari kuyachukua.
 
Back
Top Bottom