Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ida si kubwa ya wa-Tanzania wanaishi kijijini, Hii ni takribani 70% ya wa-Tanzania. Hawa wanategemea kilimo ili kuendesha maisha yao. Bado jembe la mkono ndiyo nyenzo kubwa ya kutendeackazi.
Kama vijana wanakopeshwa bodaboda , haiwezekani wakopeshwe matrecta ya gharama nafuu?
Hili tractor ni moja ya matractor ya gharama nafuu ambalo kinaweza kufanya kazi mbalimbali kwa kubadilisha jembe kulimia au kuvunia.
Picha ya pili ni jembe la diseal, linagharimu $1,500 na linalima ekari moja kwa masaa manne
Kwakweli jembe la mkono linakatisha tamaa katika mapinduzi ya kilimo. Unamwanbia kijana wa miaka 18 baada ya kumaliza darasa la 12 akashike jembe.