Tunahitaji mjadala mpana wa kitaifa juu ya timu ya watu inayounda 'Mamlaka za Uteuzi' nchini

Unalalamika waislam kupata teuzi ndogi, je sisi Budha hata mjumbe wa nyumba kumi tumekosa na tumetulia kimya
 
Watanzania wanataka maendeleo,na ww unawaza udini,ukabila,na ukanda na ndio zimekuwa akili kama ulivyo sema,yaani unataka viongozi wakalie ujinga wa kukaa mezani na kusema tuahitaji wakristo kumi na waislamu kumi na kwa mawazo yako suala la utaalamu kwako halina nafasi isipokuwa udini,ukabila na ukanda.Rudi kwenye mawazo yako uone kama uko sahihi yawezekana kuna sehemu utagundua unatereza kila wakati,jaribu vilevile kuo na athari za hayo unayoyataka yatokee kama yana umuhimu kwa nchi au hayana,mwishoni utaelewa vzr na vilevile unaonekana kutaka kusikilizwa haya mawazo yako lkn ww hauko tayari kusikiliza wenzako pia ili na ww ujifunze kitu zaidi na zaidi.
Maendeleo ni pamoja na Jamii yenye HAKI isiyo na UPENDELEO kwa vigezo vya rangi, jinsia, ukabila, udini, ukanda etc
 
Kote huku chini kwa maDAS, maRAS, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi mashirika ya umma, mabalozi etc, Waislamu namba yao iko chini sana—Hili linahitaji majibu maana siyo fair
Shuka tena chini vyuoni na mashuleni hali ikoje?
 
Waznz wanazingatia ujumuishi. Wapo wateule zaidi ya 1% waktristo, wenye asili ya asia, nk. Wakristo znz hawazidi 1%
Jaji brigedia Augustino Ramadhani alikuwa na CV kubwa sana lakini wapi hadi umauti unamkuta anapiga kinanda mkunazini hakupata teuzi yeyote serikalini kwenye hiyo 1% kwanini asingeteuliwa yeye?
Wakati kulikuwa na mawaziri walioishia form two huko SMZ
 
Shuka tena chini vyuoni na mashuleni hali ikoje?
Nafasi za teuzi serikali yote hazizidi watu 2000, Kwa hiyo hata kama waislamu wangekuwa wachache vyuoni kuliko Wakiristo, Still bado wapo wa kutosha wa kuteuliwa katika hizo nafasi maana kuna waislamu graduates na wenye vigezo maelfu kwa maelfu nchini.
 
Nafasi za teuzi serikali yote hazizidi watu 2000, Kwa hiyo hata kama waislamu wangekuwa wachache vyuoni kuliko Wakiristo, Still bado wapo wa kutosha wa kuteuliwa katika hizo nafasi maana waislamu graduates na wenye vigezo ambao wako maelfu kwa maelfu nchini.
Rais Muislamu saivi mwambieni ili mridhike
 
Hatuna shida na rais Muislam, tunataka rais wa dini yoyote ambaye yuko fair kwa wote. Unaweza ukawa rais Muislamu lakini hauna sense of fairness kwa wote! hii haina faida. Na unaweza kuwa rais Mkristo lakini una sense of fairness, wewe utakuwa na faida zaidi na utakuwa unafaa zaidi kuliko raisi muislamu ambaye yeye haoni shida ambapo shida ipo!.
Nikupe mfano, Wakati wa Rais Mkapa iliundwa bodi ya Parole yenye Wakiristo watupu, kuna watu wakaja na hoja ambazo wengi wanakuja nazo humu kuwa haijalishi dini ya mtu, bali yeyote mwenye vigezo anafaa, Hata hivyo manung'uniko yalipomfikia Mkapa, aliivunja bodi hiyo na kuamuru iundwe upya iliyozingatia uwemo wa wajumbe kutoka dini tofauti—Sasa hapo Mkapa alikuwa fair, alinyesha ukomavu wa uongozi katika suala hilo. Mkapa hakuwa muislamu, lakini kitendo chake hicho ni bora kulika kama rais angekuwa ni muislamu lakini akakifumbia macho!
Wauslamu hawana blind loyalty na mtu mmoja hata kama ni muislamu mwenzao, bali wana loyalty na maslahi yao ndani ya nchi, na maslahi yao ni FAIRNESS KWA WOTE
 
Njoo na takwimu za uteuzi wa Mh Mama ili tuone kama kweli waislamu ni 20%
nimepitia waislamu mpo wengi tu
 
Jaji brigedia Augustino Ramadhani alikuwa na CV kubwa sana lakini wapi hadi umauti unamkuta anapiga kinanda mkunazini hakupata teuzi yeyote serikalini kwenye hiyo 1% kwanini asingeteuliwa yeye?
Wakati kulikuwa na mawaziri walioishia form two huko SMZ
Hadi anastaafu alikuwa ni mteule ktk nafasi ya jaji mkuu.

Lkn pia wapo mawaziri waliojumuishwa enzi hizo ulizozitaja hadi Sasa akiwemo Mh Maudline Cyrus Castico.

# Yote kwa yote tuamini kuna tatizo kubwa.

Na tatizo lililopo sasa si Rais kama mtu, bali tatizo mfumo. Mifumo mingi imejaa watu wenye Nongwa. Kuwa ni wao tu ndio wanastahili kushika 85% na mamlaka. Ukiwemo mfumo wa "vetting system"
 
Mkuu ni vema ungekuja na takwimu za wasomi ambao ni waislamu na wakristo.
 
Shule zetu hazifundishi dini ili uje kuwaongoza watanzania, masuala ya dini ni masuala ya kiroho

Serikali yetu haina dini kwa yule anaefaa kuwa kiongozi awe muislamu au mkristo ana haki kuwatumikia watanzania

Tatizo ni haya majina ya dini zetu...Tungebakia na majina yetu ya asili ya kibantu haya malalamiko ya kidini yasingekuwepo

Tuwapime viongozi wetu kwa utendaji kazi wao wala si kwa dini zao.
 
Tukiweka Dini na Gender na Kabila nchi haitafika
 
Wasomi wengi ni wakristo ...over
Kama ambavyo walifilisi vyama vya ushirika na mashirika ya umma huku wakihamishwa sehemu moja baada ya nyingine... kama ambavyo wameshiriki EPA, Escrow na mikataba mibovu ya madini...
Na tukomee hapo UKWELI UNAJULIKANA...
 
Jina lako linapopelekwa kwa tume za vetting.. dini inakuwa sidelined.
Yanaepelekwa majina ya mtu,si dini.

kama wahusika hawana qualifications wanaondolewa regardless dini zao.

no body care about dini. dini haikuongezei ufanisi kazini.

wana qualifications or not, that is up to vetting team.
Kama walioonekana wanakidhi vigezo.. outcome ya kuwa wamelingana dini hiyo ni irrelevant.

After all dini haikubebi kwenye usahili wowote ule.

So yes if that the case
Wengine nao watasema muangalie makabila yote mnapoteua.

Wenye degree nao watasema wanasahaulika sana kwenye teuzi.

Wenye masters pia

Diploma pia.

Wapagani nao watasema sisi ndo hamtujali kbs.

Wasiosoma nao watataka fungu lao

Wenye sura nzuri nao watasema sisi tumesahaulika kbs

Waliopo uswahilini nao watasema hamna waZiri kateuliwa kutoka tandale

Weupe nao watasema baraza zima la mawaziri wote weusi, sisi wenye rangi nyeupe mbona tupo 2%tu

Sasa mtu mwenye uwezo mdog kama wewe unapata wapi nguvu ya kuandika post humu tena maneno mengiiiiii kana kwamba unajua hata unachokiandika yaani watu waache kuangalia sifa waanze kuangalia dini, rangi na sura
Mleta mada ni kiazi "Mbatata". Udini umemjaa akilini mwake.
 
Unalalamika waislam kupata teuzi ndogi, je sisi Budha hata mjumbe wa nyumba kumi tumekosa na tumetulia kimya
Kwasababu nyinyi hamfiki hata 0.001% ya population. Almost ni Kama vile hampo. 1 gm of sugar in the tank of 10,000 litre of H2O
 
Jaji brigedia Augustino Ramadhani alikuwa na CV kubwa sana lakini wapi hadi umauti unamkuta anapiga kinanda mkunazini hakupata teuzi yeyote serikalini kwenye hiyo 1% kwanini asingeteuliwa yeye?
Wakati kulikuwa na mawaziri walioishia form two huko SMZ
Angalia CV yake vizuri. Alikuwa Jaju Mkuu wa Zanzibar kabla ya kuchukuliwa na Serikali ya Muungano.
 
Hatuna shida na rais Muislam, tunataka rais wa dini yoyote ambaye yuko fair kwa wote. Unaweza ukawa rais Muislamu lakini hauna sense of fairness kwa wote! hii haina faida. Na unaweza kuwa rais Mkristo lakini una sense of fairness, wewe utakuwa na faida zaidi na utakuwa unafaa zaidi kuliko raisi muislamu ambaye yeye haoni shida ambapo shida ipo!.
Nikupe mfano, Wakati wa Rais Mkapa iliundwa bodi ya Parole yenye Wakiristo watupu, kuna watu wakaja na hoja ambazo wengi wanakuja nazo humu kuwa haijalishi dini ya mtu, bali yeyote mwenye vigezo anafaa, Hata hivyo manung'uniko yalipomfikia Mkapa, aliivunja bodi hiyo na kuamuru iundwe upya iliyozingatia uwemo wa wajumbe kutoka dini tofauti—Sasa hapo Mkapa alikuwa fair, alinyesha ukomavu wa uongozi katika suala hilo. Mkapa hakuwa muislamu, lakini kitendo chake hicho ni bora kulika kama rais angekuwa ni muislamu lakini akakifumbia macho!
Wauslamu hawana blind loyalty na mtu mmoja hata kama ni muislamu mwenzao, bali wana loyalty na maslahi yao ndani ya nchi, na maslahi yao ni FAIRNESS KWA WOTE
Hata hii ya kujisitiri kwa wanafunzi mabinti wa Kiislamu MKAPA ndie alie ruhusu baada ya malalamiko ya Waislamu. Kabla ya hapo ulikuwa hujui huyu Joice au Ummy.
 
Back
Top Bottom