Tunahitaji mjadala mpana wa kitaifa juu ya timu ya watu inayounda 'Mamlaka za Uteuzi' nchini

So what ,tumekubali kwamba Zanzibar na tanganyika ni taifa moja so nao wajiandae ipo siku mkiristu atakua mkuu wa nchi TOKA bara na mikoa yote itakua nusu KWA nusu Kama ambavyo tz kwamba bila ukabila ,dini jinsia kiongozi twampenda
Hii ndoto yako itakuja kuwa kweli baada ya YESU kurudi mara ya pili. Kabla ya hapo endelea kuota hivyo hivyo usichoke.
 
Kama hii hoja ina mashiko,mbona sisi tusiokuwa na dini hatuteuliwi na wala hatujalalamika?
 
Hii ndoto yako itakuja kuwa kweli baada ya YESU kurudi mara ya pili. Kabla ya hapo endelea kuota hivyo hivyo usichoke.
Sawa mkuu ila sio lazima YESU kurudi, sie ni ndugu, na sioni Cha kuzuia Hili Kama twashirikiana KWA Mambo makubwa,na ili linawezekana ni swala la utashi tu Wala hakuna ndoto za kuota mkuu
 
Kama Taifa kuwa na conversation juu ya mambo nyeti kama haya ili kujenga Taifa lililofair zaidi hatupaswi kuogopa.
Inachotakiwa ni Hoja, Logic na Frankness badala ya Jazba, Hisia na Ufia dini.
Sisi Raia hatuna Jukwaa huru zaidi la kuzungumza haya kwa uwazi isipokuwa mahali kama hapa JF
Nawaomba Mod, wasikimbilie kufunga mada kama hizi kwa hofu eti zinaomaza udini, kufanya hivyo ni kupoteza objectivity.

Iwapo kuna section moja ya jamii ya nchi yetu inalalamika juu ya teuzi mbalimbali kwa miaka nenda rudi, wajibiwe kwa hoja na si kwa kejeli.

Kwa mfano:

1.Ukisema Waisamu hawajasoma eti ndiyo maana hawapati hizi nafasi kwa kiwango cha kuridhisha—Je ni kweli katika society yetuhakuna waislamu waliosoma na wenye vigezo kutoshelezea hizo nafasi zinazojitokeza hadi ipelekee tuone teuzi zina character fulani hivi in common ambapo watu wa dini moja wanadominate hizi teuzi?

2: Je kwa nini majority ya watu wako confortable kukemea teuzi zenye sura ya ukanda na Ukabila lakini wanakuwa mbogo kwelikweli dhidi ya watu wanaoalamika teuzi kuwa na sura ya udini? —Je nao ni beneficiary wa mfumo kwa hiyo wangependa status quo iendelee?

Kujadili haya mambo siyo udini bali ni ukomavu wa fikra
 
Sawa mkuu ila sio lazima YESU kurudi, sie ni ndugu, na sioni Cha kuzuia Hili Kama twashirikiana KWA Mambo makubwa,na ili linawezekana ni swala la utashi tu Wala hakuna ndoto za kuota mkuu
Tupo pamoja.
 
Ndio umepost nini sasa, mi naona takataka, unaokusumbua ni upumbavu tu, kuna watu wana vichwa vibovu bora hata kunguru.Kumbe ilimradi anateua tu, Mimi ni mpagani na siye atukumbuke katika uteuzi, wahindu nao awakumbuke.Mama asipokuwa makini yale yale ya kipindi cha Kikwete mara utasikia kanisa limechomwa, watu wamevamiwa msikitini na kuuawa, padri kauawa, mijadala ya ovyo yenye kupandikiza chuki kati ya waislam na wakristo n.k,Magufuli alijitahidi sana kukomesha hivi vitendo na bado majitu mengine yanaona hajafanya kitu, pumbavu kabisa.Kuna dalili ya kurudi huko tena mama asipokuwa makini.
 
Mbona umepanic, hebu tuliza Munkar kwanza, punguza taarabu na maneno ya kanga kidoogo tujadili masuala ya haki katika nchi.

huenda mada imekuzidi kimo hii au wewe na uzao huenda ni wanufaika na mfumo huu wa kibaguzi ndiyo maana povu linakuwa jingi.
Wacha watu wahoji upendeleo ili tujenge Taifa la Haki na Usawa
 
Kwana, ulishawahi kufanya utafiti wa uwiano wa raia waislamu na wakristo nchini?

Pili ulisha sikia wakristo wakilalamikia uwiano mdogo ndani ya SMZ?, Nadhani swali la pili likupe hints za swali la kwanza.
 
Kwana, ulishawahi kufanya utafiti wa uwiano wa raia waislamu na wakristo nchini?

Pili ulisha sikia wakristo wakilalamikia uwiano mdogo ndani ya SMZ?, Nadhani swali la pili likupe hints za swali la kwanza.
Kama kuna wazanzibar wanaona hawatendewi haki kwenye serikali yao ya huko Zanzibar basi wana haki ya kuanzisha mada hapa JF kulalamika na kutaka hatua zichukuliwe. Mimi naanzisha mada kuhusu serikali inayonihusu. Serikali ya Zanzibar ni ya Wazanzibari, sina maslahi nayo, huko sina hata haki ya kupiga kura wala kuchaguliwa kuwa muwakilishi, achilia mbali haki ya kumiliki ardhi huko

Kuhusu idadi ya Waislamu na Wakiristu nchini, kama una takwimu za kundi gani jingi basi share nasi, share na source ya data zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…