Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Unajua ni vigezo gani watu wa vetting wanaangalia?Rais anapelekewa pool ya majina ya kuteua kutoka kwenye mamlaka za vetting, kama vetting imelalia upande mmoja basi chance ya wateuliwa wengi italalia upande huo, unless rais specifically aseme kuiambia mamlaka ya uteuzi imletee list pana ya watu wanaozingatia vigezo vya kazi lakini na demographia ya nchi ili aunde timu wakilishi!
Ufanunuzi pls
Kwa hiyo Waislamu wenye vigezo hivyo nchi hii ni just about only 20% ila Wakiristo wenye hivyo vigezo ulivyovitaja ni more than 80%?mada yako imejiweka kidini zaidi kuliko reality.
reality is teuzi zinaangalia qualification, zinaangalia background, work history yako.
kama nchi hii inataratibu. hakuna kutoa cheo ku balance dini.
ukianza kuendekeza udini kwenye nafasi za kazi, utaajiri watu wasio na qualifications just sababu ni wa dini fulani.
hii serikali si ya kidini. na haina dini. ni independent organ.
Ina maana watu wa dini moja ndo wana hivyo vigezo zaidi kuliko wa dini nyingine?unajua ni vigezo gani watu wa vetting wanaangalia?
au unalalamika tu?
oh rais aangalie demography,sijui aangalie nini.
hizo mamlaka ziko kisheria. lazima vetting ilalie qualifications only. na ndicho wanachofanya.
no qualifications no rights. simple as thats. dini tupa kule
Labda tujiulize ni bias za makusudi au ni za kimazingira. Maana distribution ya dini au kabila huwa hazina usawa katika kila level. Let's assume umechukua list ya watanzania wote wenye PHD, distribution yao itakuwaje? Unaweza ukakuta katika hao probably Wahaya ni 10%, lakini population ya wahaya Tanzania sio 10% ya watanzania wote, au pengine ukakuta 70% ya hao ni wa dini fulani wakati hiyo dini doesnt not represent 70% ya watanzania.Rais anapelekewa pool ya majina ya kuteua kutoka kwenye mamlaka za vetting, kama vetting imelalia upande mmoja basi chance ya wateuliwa wengi italalia upande huo, unless rais specifically aseme kuiambia mamlaka ya uteuzi imletee list pana ya watu wanaozingatia vigezo vya kazi lakini na demographia ya nchi ili aunde timu wakilishi!
Kama walioonekana wanakidhi vigezo.. outcome ya kuwa wamelingana dini hiyo ni irrelevant.Ina maana watu wa dini moja ndo wana hivyo vigezo zaidi kuliko wa dini nyingine?
Si vizuri kumhukumu mtu anayejaribu kuondoa ubaguzi wa kidini kuwa ni mdini.Huu mjadala unachochea udini, mleta mada ni mdini na mbaguzi,
Watu tunaangalia uwezo wa mtu na si dini kama mawazo yako yalivyo,
Wachochezi wa vurugu za kidini huwa mnaanza hivi hivi kidogo kidogo na mwisho mnamwagia petrol kabisa,na kuchoma nyumba tunaomba ushindwe kabisa na hiyo agenda yako
Jina lako linapopelekwa kwa tume za vetting.. dini inakuwa sidelined.Kwa hiyo Waislamu wenye vigezo hivyo nchi hii ni just about only 20% ila Wakiristo wenye hivyo vigezo ulivyovitaja ni more than 80%?
I wish mazingira yangethibitisha hicho unachokisema, ila hii pattern inayojirudiarudia ya 20% by 80% rule inahitaji jicho kali la kiuchunguzikama walioonekana wanakidhi vigezo.. outcome ya kuwa wamelingana dini hiyo ni irrelevant.
after all dini haikubebi kwenye usahili wowote ule.
so yes if that the case
Mkuu, hii mijadala ya dini ni mibaya na haina mwisho.Kuna msuguano wa idadi ya Wakristo na WaIslam hapa Tanganyika.Upande wa Zanzibar WaIslam ni zaidi ya 90% hili halina ubishi.
Tanganyika WaIslam wanadai wao ni wengi zaidi ya WaKristo,WaKristo nao wanadai wao ni wengi kuliko WaIslam.
Senso ya mwisho kabla kipengele cha dini hakijaindolewa idadi ya WaIslam na WaKristo zilikuwa karibu sawa huku idadi ya wapagani ikiwa kubwa sana nadhani 35% kama kumbu kumbu zangu zipo sawa.
Nina uhakika leo hii idadi ya waPagani (wasio amini katika Ukristo na UIslam) imepungua sana.Hiyo 35% itakuwa sasa ipo katika UIslam na UKristo itategemea na dini ipi ilifanya kazi ya kueneza imani yao katika kipindi cha kati 1960s hadi 1980s.
Unaweza kupata picha ingawa sio sahihi sana,kwa kutazama idadi ya watu katika makabila makubwa Tanganyika eg Wasukuma,Wahaya,Wachagga,Wanyakyusa,Wamakonde na Wamaasai.